Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Khaleed Bin Abad amesema huyu Mtanzania aliondoka South Afrika na kwenda kufata dawa za kulevya Brazil na akafanikiwa kuchukua ila wakati anarudi Afrika Kusini kwenye kubadilisha ndege Angola alikamatwa na kukutwa na dawa za kulevya miaka mitatu iliyopita.
Kwa kipindi chote hicho huyu jamaa amekua akishikiliwa Angola bila kujua hatma yake na hata kushindwa kukutana na balozi wa Tanzania Angola lakini wiki mbili zilizopita ndio amehukumiwa kifungo cha miaka 8.
Ombi lililoambatana na ndugu hawa kupaza sauti, ni kuiomba serikali kusaidia mtu huyu kukutana na balozi wa huko ili utaratibu wa kuja kufungwa Tanzania ujulikane.
Mara nyingi Mtanzania huyu amekua akituma msg kwa kutumia simu za watu wengine aliokutana nao gerezani.
LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com
Hawa Wauza unga wasituchanganye unga wabebe wao halafu serikali iwasaidie sidhani kama ina maana
ReplyDeleteNashangaa!!!
ReplyDeleteYaani mpumbavu kweli eti afadhari angefungwa jela ya south,hiv na serikali haina kazi za kufanya had ihangaike kuwasaidia hawa watu wanaosababisha majanga nchini.yaani ungeona ndugu zetu wanavopata shida kwa utumiaji wa hayo madawa bora wanyongwe tu hao wanaosafirisha.maana bila wao hao watumiaji wasingeyapata.tena wafie jela wala serikali isihangaike.pumbavu!
ReplyDelete