AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Ladies and gentlemen rapper Kanye West anatarajiwa kuwa na mama wa mtoto wake mtarajiwa Kim Kardashian katika chumba cha kujifungulia, kushuhudia jinsi mwanao mpendwa akiwa anaanza kuvuta hewa ya dunia kwa mara ya kwanza.
Chanzo cha kuaminika kimeuthibitishia mtandao wa Hollywood life kuwa Kanye sio tu atakuwa na Kim chumba cha kujifungulia bali anashauku kubwa kuwepo wakati Kim anajifungua.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Mbona kawaida hiyo Mie mume wangu mama angu mama mkwe wote walikuwapo Kwenye chumba cha kujufungulia .
ReplyDelete