Mshiriki wa Big Brother wa Kenya na Uganda Watolewa Katika Big Brother-Tanzania yazidi Kupeta

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jana Usiku Katika Show ya Big Brother Africa Mwakilishi wa Kenya Huddah Monroe na Mwakilishi wa Uganda Denzel Walitolewa Katika Jumba Hilo Baada ya kupata kura Chache zilizopigwa na nchi tofauti...
Wakati huo huo watanzania Wawili walioko katika jumba hilo wanaonekana kufanya vizuri katika jumba hilo huku wakionekana kupendwa na washiriki wote ndani ya jumba hilo...leo washiriki wote watapiga kuru kuchagua washiriki watakao toka week ijayo ...


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. bora maana walikua wanatudhalilisha sana wananwake

    ReplyDelete
  2. Malaya wa kikenya alidhani atafika mbali? wapiga kura wengi wako TZ! alafu baada ya kumpa picha zake za utupu PREZO yeye anaanika mtandaoni, hovyo! jamaa kagonga kakuta mashine mbovu, parfomance hovyo sasa anatafuta kitu cha kitanga ajue kuna ni pale! ATAHAMIA111

    ReplyDelete

Top Post Ad