AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Wahiriki wote wa big brother wanajua
ya kwamba jumba hilo limezingirwa na kamera kila kona.Kwa hiyo, kama
mtu ataamua kufanya ufuska au kukaa uchi basi ajue kamera zitamrekodi na
kumwanika hadharani....
Masharti hayo hujuzwa mapema kabla ya kuanza kwa shindano hilo...
Hakeem
Huyu ni mshiriki toka zimbabwe aliyepata bahati ya kuoga na dada yetu Feza ndani ya bafu moja
Feza
Huyu ni mshiriki toka Tanzania....Yuko ndani ya afu moja akioga na mshiriki wa Zimbabwe.....
Dakika chache baada ya kila mmoja kuoga kivyake,Hakeem anaamua kumuomba Feza amsugue mgongoni....
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
But hiyo video ukiichek Feza Kesy hakuwa uch kabisa, alioga akiwa na underwear zake km sidiria na chup
ReplyDeletemi hata cjaupenda huu mchezo naona ni kujidhalilisha tu
ReplyDeleteWat ever kama hujaupenda hujalazimishwa kuuwangalia!
ReplyDeletePesa mwanaharamu!
ReplyDeleteBila pesa hii icngekuwepo!
Ama kwel"MONEY S THE SOURCE of all evil!