AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Anasema yupo tayari kuwekeana kabisa mkataba na mie kwamba gharama zote za mimba na kulea mtoto hatanidai na mtoto ataandikishwa kwa jina lolote nitakalokubali mie na hata akitaka atanilipa. Sijui kaona kitu gani cha ajabu kwa Mnyamwezi mie ingawa kiukweli hadi leo hii sijawahi hata kumbusu, acha kutembea naye.
Kuhusu Mimba anasema inaweza kuwa kwa njia ya kawaida kwa kufanya mapenzi au kwenda hospital na huko wakafanya kupandikiza kama wanavyofanya kwa wale wanaotoa mbegu za Kiume na kuwapa akina mama ambao hata hawawajui.
Shida kubwa iliyopo ni kuona kuwa Mtoto wangu anaweza kukulia kwenye familia au nyumba ambayo Mama anaishi na GIRLFRIEND wake na kwa maana nyingine ni kwamba, hawa ni Wasagaji. Mbaya zaidi kakiwa ka kike, si ndiyo itakuwa shida kwa mtoto huyo? Itabidi ajifunze kuwa Mliberali mapema sana au aungane nao.
Hebu nyie wakali na wazoefu wa haya mambo mniambie, kwa hili NIKUBALI au NIKATAE?
ANGALIZO: Hii ni habari ya kweli, utani pembeni Bandugu.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Fatana na kitabu chako cha dini katika hilo. pole
ReplyDeleteUsizini
ReplyDeleteUsizini, kumbuka Mshahara wa dhambi ni mauti, kila mtu atavuna alichopanda. UKIPANDA UOVU UTAVUNA UOVU ACHANA NAYE TAFUTA WAKO WA MAISHA UOE UZAE NA ULEE WATOTO WAKO.
ReplyDeleteMUNGU AKUSAIDIA
Nitumie namba zake imeandikwa zae muijaze nchi
ReplyDeletePiga kazi io kiongozi...
ReplyDeleteAchana naye bro...
ReplyDelete