AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda amesema jeshi la polisi litaendelea kuwakabili na
kuwadhibiti ikiwa ni pamoja na kupiga wale wote wanaokiuka amri halali
inayotolewa katika kulinda amani ya nchi iliyopo ...
Mhe Pinda amesema
hayo bungeni mjini Dodoma wakati wa kipindi cha maswali kwa waziri mkuu
akijibu swali aliloulizwa juu ya matukio ya polisi kudaiwa kupiga
wananchi katika matukio ya hivi karibuni
----
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
Waziri km waziri hutakiwi kutamka maneno km hayo ya kuwapa polisi ruksa ya kupiga laia wa nchi yako, ebu chukueni mifano kutoka kwa nchi za wenzenu polisi hawapigi watu utakuta mtuhumiwa anampiga polisi kibao lkn polisi harudishi mashambulizi ya kibao alichopigwa na mtuhumiwa, lkn mpige kibao polisi watanzania huone chamtema kuni..... Nawachukia sn polisi wa tanzania na serikali yake ya CCM..... CCM MJIPANGE SANA 2015 watu tushawachoka vibaya mno
ReplyDeleteKinda u hv stepped so low uttering dat
ReplyDeleteManeno hayo alitakiwa aongee lopolopo Nape au Nchemba sio Waziri,dawa ni kuwapiga chini 2015 magamba wakubwa hawa. Naanza kuamini mtoto wa mkulima kawa Bepari.
ReplyDelete