AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Wanachama wengine wa Chadema ambao wanahusishwa katika mashataka hayo ya Kigaidi ambapo imedaiwa kuwa watuhumiwa walifanya makosa hayo ya Ugaidi na kumjeruhi Bw.Mussa Tesha ambaye ni mwanachama wa CCM wakati wa kampeni za uchaguzi wa Ubunge wa jimbo la Igunga mnamo tarehe 9/9/2011 katika msitu wa Hanihani huko wilayani Igunga.
Kamanda Henry Kileo akiwa ndani ya gari pamoja na wtuhumiwa wenzake wanne wakisubiri kupelekwa Gereza la Mahabusu hadi watakapoletwa tena Mahakamani hapo mnamo tarehe 8/7/2013.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Safi sana lazima tukomeshe uchaga WA chadema
ReplyDeleteWe bwege kweli nani aliyekuambia cdm ni ya wachaga tu
ReplyDeleteKama sio cha wachaga basi cheo cha uwenyekiti toeni kwa makabila mengine hicho ni chama cha wachaga na sasa hivi mnaweka makabila mengine kama chambo ili mpate mnachokitafuta mkipata watakiona.lakini sahauni hilo ni ndoto kwa nchi hii.
ReplyDeleteHalafu admin wewe niwazi umchadema acha ufala
ReplyDeleteAlikwambia chadema ni ya wachaga nani?na kuhusu huo uongozi wa ccm hauoni walivyo weka mbona hawo huwa ulizi acha ushamba
ReplyDelete