AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Hii imetokea huko Gongolamboto jana ,majambazi waliokuwa wamejihami kwa
silaha za kisasa walivamia kituo Kidogo cha polisi kilichoko
Gongolamboto na kuwateka polisi waliokuwemo kituoni humo na kuwafungia
mahabusu ya kituo hicho, majambazi hao pia waliwajeruhi na walitaka
silaha zaidi na radio call, hata hivyo walishindwa kwakuwa radiocall
haikuwa na chaji(aibu nyingine ya jeshi la polisi) waliondoka wakiwaacha
polisi ndani ya lockup yao mpaka walipokuja kuokolewa na wananchi
Source; Radio Wapo, Radio Tumaini
----
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
Hahahahaaaaa.....!! Tz wabaya? Tulimpiga Idi Amin?!?
ReplyDeleteHahahaaa waambie kumkamata mbowe watakuja force kweli na siraha nzito ,,,lkn kwa majambazi wanafungiwa ndani kama kuku bandani,,uwiiiii sina mbavu nacheka sana leo
ReplyDeleteNaisi bongo,bado hatujielewi kusema kweli mpaka inafiki hatua ya majambazi kuvamia kituo cha polisi na kuwafungia selo...kweli soooh!!
ReplyDeleteUkiona hivyo siasa na haki za binadamu imetawala zaidi ya nguvu ya jeshi
ReplyDeleteSafiiiiiiiii wangewavua na nguo
ReplyDeleteCo nguo wangewabaka
Delete