AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mzee (pichani) aliyeibuka hivi karibuni akidai kuwa ana uwezo wa kumfufua Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere amezua gumzo.
Babu huyo aliibuka katika studio za Kyera FM huko mkoani Mbeya akihitaji msaada wa kumfikisha Butihama alipozikwa Mwalimu Nyerere mwaka 1999 ili amfufue.
Mzee huyo alikuwa na ufunguo mkononi ambao anadai ndiyo utakaotumika kumfufua Nyerere. Anaeleza kuwa akishamfufua Mwalimu Nyerere ndiye atakayesimamia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
mzee hela hazitafutwi hivyo!!!!
ReplyDeleteunashindana na babu wa loliondo
DeleteSamson ndaro.hukishindwa upigwe risasi.
ReplyDeletetafuta hela kwa mtindo mwingine.
ReplyDeletedaah!hii kal mbona
ReplyDeleteMZEE UTAKUWA UMELOGWAAA
ReplyDeleteJamani njaaa iyo inamsumbua na yeye anataka kuwa star
ReplyDeleteNi mtu wa kupelekwa hospitali ya mirembe akatibiwe ugonjwa wa akili huyo!
ReplyDeleteHistoria ya babu inaonyesha ni mwalimu mstaaf wa milembe
ReplyDeleteameshafanyiwa vipimo vya akili lkn?
ReplyDeletehuyo ni mbwa wa kike kbxa kam ye nouma amwahi mandela tujue moja
ReplyDeletehii kali babu nyerere alipokufa ulikuwa wap?acha wiz mzee wangu siyo hivo mbona mbeya kilimo kinatoa watu
ReplyDeleteMh hata wazee nao ni wahuni tu cku izi atafute mchongo mwigine tu.
ReplyDeleteMh hata wazee nao ni wahuni tu cku izi atafute mchongo mwigine tu.
ReplyDeleteaaaa babuuuuu na ndevu zako ahahaaa mwongo hivo'fanya yako
ReplyDelete