AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
MFANYABIASHARA maarufu na Mmiliki wa maduka ya Home Shopping Center (HSC), Said Mohamed Saad, ambaye wiki iliyopita alimwagiwa tindikali maeneo ya Msasani City Mall, jijini Dar es Salaam, sasa yuko Afrika Kusini kwa matibabu zaidi.
Wiki iliyopita majira ya saa moja jioni, mfanyabiashara huyo alimwagiwa tindikali na mtu mmoja ambaye hakufahamika na mara baada ya kutenda tukio hilo, mhusika alikimbia huku mlinzi wa eneo hilo akijaribu kumkimbiza pasipo mafanikio baada ya kuteleza na kuanguka.
Hatua hiyo ilitoa mwanya kwa mtuhumiwa kutoroka eneo la tukio kwa kutumia usafiri aina ya pikipiki.
Hapo awali ilidaiwa kuwa Saad alikuwa anaweza kuzungumza japo amefungwa mashine sehemu ya pua kwa ajili ya kumsaidia kupumua.
Matukio ya watu kumwagiwa tindikali yameonekana kushamiri nchini katika siku za hivi karibuni.
Tukio la kumwagiwa tindikali mmiliki huyo wa Home Shopping Centre, limekuja ikiwa ni takribani wiki mbili tangu Sheikh Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, mkoani Arusha, Said Juma Makamba naye ajeruhiwe vibaya usoni kwa kumwagiwa maji maji yanayosadikiwa kuwa ni tindikali majira ya usiku akiwa nyumbani kwake.
----
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
MANGE KIMAMBI NEXT
ReplyDeleteNenda states ukafanyiwe plastic surgery si una mawe
ReplyDeleteTumekua kama manyama
ReplyDeleteTumekua kama manyama
ReplyDeleteHyo thuluma au katembea na mke wa mtu!
ReplyDeleteGet well soon,,
ReplyDeleteBinafsi nasema pole kwa maumivu Kibinadamu, ila kwa yaliyomo humu sidhani kama unastahili pole ya aina yoyote Kweli usilo lijua ni sawa na usiku wa giza. Sikujua Mengi kuhusu wewe na sasa nimesoma, nimefikiria na kujua. Ibaki kuwa pole kama binadamu lakini U-Mtu mbaya kwa taifa langu na jamii yangu. http://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/66439-serikali-imewekwa-mfukoni-na-said-na-ghalib-saad-wa-home-shopping-center.html
ReplyDeletehaki haki haki huinua taifa. Tusipokuwa na uhakika wa kupata haki tunazitafuta wenyewe. Hiki ni kisasi wala hakuna uonevu hapa. Ni muonevu kaonewa. Pole sana.
ReplyDelete