AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Watanzania wenzetu wanavua samaki kwa kutumia sumu, wengine wanakaanga
chips kwa mafuta ya transformer, kuku wanakuzwa kwa contraceptives (dawa
za uzazi wa mpango), kitimoto nao wanapewa ARV's, samaki wanahifadhiwa
kwa formalin (dawa ya kuhifadhia maiti) si hivyo tu, dawa feki kila
kona? Vyote hivi in a long run vitawaathiri watanzania wengi! Tunauana
wenyewe kwa wenyewe kwa tamaa ya kutajirika haraka haraka! Mimi huu
ujinga unanikera sana!!
----
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
Kwakweli inakera sana wala si kidogo,yaani tumekuwa wanyama,utu hakuna,watu wanaangalia masilahi wala si utu tena,too bad jamani.
ReplyDeleteAlaf majitu badala ya kuchukua tahadhari ndo kwanza kila cku yanatuona cc tunaojilia vyakula vya asili ni masikini
ReplyDelete