JEURI YA FEDHA WEMA SEPETU AVUTA MKOKO UNAOENDANA NA RANGI AIPENDAYO ZAIDI KATIKA MAISHA YAKE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Haya ndio Maneno ya Martin Kadinda aliyoandika facebook na kuweka picha ya Wema akiwa na gari hilo

"samahani kwa ubora wa picha kuwa hafifu....... Ila huyu dada anapenda pink kupitiliza..... haya she gat new pink Car.... mkutane barabarani..." aliandika Martin
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Rangi ya gari hiyo siyo pink: ni red

    ReplyDelete
  2. Wema yuko obssesed na diamond jana d kaonyesha gari yake mpya asubuhi jioni naye kaonyesha yake mh kazi ipo

    ReplyDelete
  3. Innocent safari25 July 2013 at 11:34

    Atoae ataongezewa! Wema ulioufanya kwa kajala nikumbukumbu ktk ufalme wa mungu.mungu akubarik upate zaid na zaid

    ReplyDelete
  4. hebu acheni ushamba,hiligari nilakawaida tu,huwezi kusema mmiliki anapesa kwakua nalo.

    ReplyDelete
  5. hiyo roho mbaya.uwepo wa pesa hata ikiwa senti hamsini ni pesa hiyo..chukua karatasi la gazeti kalipie upate gari au bajaji 2.ww vp?

    ReplyDelete
  6. binadamu afanyapo zuri sharti asifiwe..hongera sana wema..ila ni ushauri tu usisahau kujenga maana nyumba ya kwako ndiyo kila kitu ktk maisha..usiishie kupanga ni aibu!

    ReplyDelete
  7. wa2 bwana wivu wa nn jaman???hawajazungumzia ubora wa gari wamezungumzia rangi na swala la kuwa na hela jaman hata kama ndogo ni jeur kwa upande wakedadako analoo au bas tu?

    ReplyDelete
  8. Hongera sana wema

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hongera sana. Ila nashauri wakumbuke na wengineo wenye shida kama yatima na wazee nadhani utabarikiwa zaidi. Na mungu atakupa mume mzuri

      Delete
  9. Me nampenda Wema for whatever she is........Congrats hata ingekua bajaj as long as u r comfortable wth it! We shuld atleast learn to apriciate other people's success guys......

    ReplyDelete
    Replies
    1. This comment has been removed by the author.

      Delete
  10. wifu mpaya jamani. Ina maana milioni 20 si hela? kama kama ni used hiyo ndo bei yake. Gari ni gari tu. kwamba ni la japan au rombo au ulaya ni swala la imani ya kipi kizuri. Kwani wanaovaa nguo za designers wanapendeza kuliko sisi tunaovaa mitumba ya mchikichini? Comfort is just the state of mind. So punguza mapovu. Ukute huna hata bajaji. Angenunua hili gari Manji au Rostam halafu akasifiwa ndo tungeshangaa.

    ReplyDelete

Top Post Ad