AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Azzan amesema alienda mwenyewe kutoa taarifa katika Kituo Kikuu cha Polisi Kati, jijini Dar es Salaam.
"Nimeamua kwenda kituo cha polisi kwa ajili ya kutoa taarifa ili ufanyike uchunguzi wa jambo hilo na ukweli ubainike na hatua za kisheria zifuate juu yangu," alisema Azzan kwa njia ya simu
"Mimi sipo juu ya sheria , itakapobainika najihusisha na tatizo hilo, nichukuliwe hatua mara moja, na nitajiuzulu ubunge wangu," alisisitiza Azzan na kuongeza:
"Wapiga kura wangu wa Kinondoni pamoja na wananchi kwa ujumla inatakiwa waelewe kuwa barua hizo zina nia mbaya zenye lengo la kunichafua na kama kweli wana ushahidi wangetaja majina yao," alinukuliwa Mbunge huyo.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Ni kweli aache kujitapa unga unauza unauza na Demu Wako mbona umumejengea Lani hadi kwao
ReplyDeleteZa mwizi zimetimia,kama vp na yy awataje wenzie.
DeleteMajina yao ni wafungwa na boss wao ni wewe azzan, subiri sheria ichukue mkondo wake utanyoosha maelezo tu!
ReplyDeleteAcha paparaa polisi unafuata nini baba sbr watu wafanye kazi yao mnaharibu xana maishaya watanzania wenzenu na kesho kwa allah mnalakujibu.
ReplyDeleteserikali yote kaishikilia mikononi huyo. anajipeleka tu kutuzuga. hamana hata atakayekamatwa huu ni upepo sasa hivi utapita kama wa richmond
ReplyDeletehuo ndio mchezo wao,na wapo wengi had jk yupo lkn hawawezi kufanya kitu coz sheria ndio wao wenyewe ila mwisho wao upo njian
ReplyDeletePumbafu mkubwa wew ndio unachangia kumaliza vijana kwa madawa
ReplyDeletemshenzi mkubwa unaangamiza taifa,lisemwalo lipo hatakama hujapatikana na hatia ukweli unabaki palepale.
ReplyDeleteMwisho wako Qafil mkubwa weeewe
ReplyDeleteuntil proven guilty people.. lets wait..
ReplyDeleteDrugs,credit cards na upigaji mwingine umefanya,wondering hw u got huo ubunge!!
ReplyDelete