MKE WANGU HALALI NA MIMI CHUMBANI, ANALALA NA HOUSEGIRL-MSAADA PLIZ

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimekuwa na tatizo hili kwa miezi mitano sasa. Nimejaribu kuvumilia lakini nimeshindwa.
Tumejaaliwa mtoto mmoja wa kiume na kwa sasa mke wangu ni mjamzito. Mke wangu baada ya kupata ujauzito miezi mitano iliyopita amenichukia sana na inafikia kipindi tunagombana sana tukiwa faragha na hadi kufikia uamuzi wa kwenda kulala kwenye chumba na housegirl.

Nimemuomba sana tulale wote chumbani lakini bila mafanikio so nikaamua kumchunia hadi hivi sasa huu ni mwezi wa tano. Je niendelee na msimamo huu wa kulala peke yangu na kama hapana je kuna madhara yoyote kutokana na hali hii? Msaada please

Source:Jamii Forums
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mvumilie tu hv sasa yuko kwenye kipindi mpito,mimba ndio 7bu ya kukuchukia

    ReplyDelete
  2. Sieliwi kama nilile wanalosema kuwa mke mjamzito huwa ana mchukia sana mume ikweli ni huu kama wazazi walihusika katika ndoa yako wahusiswe kama nikanisa au mskiti wambiye juu ya shida hii kabla ya kufanya jambo ambalo litakuja kusababisha yatoto unaowapenda kupata shida kwa sababu ya mamzi ya leo. Nina imani kuwa unawapenda watoto (pamoja kijacho) wako, toa mda wa mwezi tisa utajua nishida ya mimba kumchukia mume au ni kiburi bada ya miezi tisa utajua. Mungu akitia uvumilivu anapofanya mamzi ya a hadi "mpaka kifo kitatutenganishe".

    ReplyDelete
  3. Mvumilie kaka yangu hii yote ni kwa sababu ya mimba.akijifungua yote yatakwisha.nilipokuwa na mimba ya mwanangu wa kwanza nilimchukia sana mume wangu nklikuwa siwezi gusa ata nguo zake, alipata shida sana make ndani ilikuwa ni ugomvi tu.mama mmoja jirani yetu ndie alimwambia kuwa yote ni kwa ajili ya mimba,kweli nilipo jifungua yote yaliisha.

    ReplyDelete
  4. Jamani iyo ni mimba tu akijifungua yataisha. Hata mimi nilikuwa cwezi kulala na mumewangu natandika kanga chini nalala au akiwepo silali kabisa akisafiri nalala kwa raha sana so mimba zinasumbua sana

    ReplyDelete
  5. wala hilo lisikupe shida mbona hayo madogo wengine mbona 2napigwa so do worry mpende 2 usimchukie

    ReplyDelete
  6. Kuna kila dalili mkeo atajifungua mtoto wa kiume.Si unajua tena mafahali wawili huwa hawaishi kwenye zizi moja?

    ReplyDelete
  7. kaka ni mimbatu ndo inamsumbua, tambua mimba ni ugonjwa so mvumilie siku akiwa sawa atajileta mwenyewe

    ReplyDelete
  8. Kijana usiwe mjinga wanawake wanapokuwa na mimba wengi huwa na tabia ambazo kama wewe mwanaume siyo mwangalifu unaweza ukamfukuza mkeo, na mjawapo ni hali ya kukuchukia! Hivyo ninakushauri umwachie tabia yoyote ambayo itakuwa imejitokeza baada ya kubeba mimba... Ninaamini baada ya kujifunfua atarudia hali yake ya kawaida!

    ReplyDelete
  9. hiyo ni mimba na usijaribu kufanya chochote, maana hata jamii itakushangaa

    ReplyDelete

Top Post Ad