AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
“Hizi Salamu ziende kwa Madam Rita na bongo star search. Mshindi analipwa nini mbona kama magumashi?! Namuona Walter Chilambo kapigika km zamani, haji ramadhani kachoka yupo kitaani.
"Nauliza milioni hamsini zao anazila nani, acheni ubabaishaji wekeni mambo hadharani. #966#, salam zao# my new track,” aliandika Nay Wa Mitego kupitia Instagram.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Kina Jumanne iddy,misoji nkwabi,Yule dogo wa mwanza sijui hata wako wapi?uko sahihi Ney wambie
ReplyDeleteWanakula pesa zao kimya kimya sio mpaka atangazie umma..
ReplyDeleteacha kuzingua watu, sasa jumanne iddy anakula nini kimya kimya wakti anaonekana kupotea kabisa ktk ulimwengu wa music pia hata pesa amefulia kinoma. Ney wachane
ReplyDeleteWachane brother Nay jumanne Idd Dinga yake kashafanya Tax na bado anasota 2 kitaani!
ReplyDeleteWatoto wenyewe akili zero, wakipata wanadhani dunia iko kichwani kwao na hawataki kuwa chini ya management za uhakika wakidhani wao ni masuper star wanajua kila kitu, mwisho milioni hamsini si chochote kama hamna mipango endelevu wanafulia! Baada ya kushinda watumie fedha vizuri kwa kuinvest ktk miradi endelevu na kujiendeleza kimuziki sio kumaliza mademu wazuri wa bongo movie, hela zote wanahonga alaf mnailaumu BONGO STAR SEARCH????
ReplyDelete