AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Julius Nyaisanga a.k.a anko j
Flora Nducha
John Dilinga
Sebastian Maganga
Sostenes Ambakisye
Dj Fast Eddy
Misanya Bingi
Asia Mohamed
Masoud Masoud
Hivi hawa watangazaji wako wapi siku hizi, wakati radio one iko hot hawa jamaa ndio walio ifanya ing'are sana wakati ule...
mwenye kukumbuka mbwembwe na utashi wao katika vipindi walivokuwa wakitangaza radio one atutupie hapa.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Chas hilal yupo BBC Swahili
ReplyDeleteChazi hilary tishio na charanga time na ngoma zake za zamani halafu ukipiga simu anakuuliza huu mziki unakukumbusha wapi ukichapia anakwambia kwaheri
ReplyDeleteanko J yupo abood media morogoro
ReplyDeleteKachokajeee ..
DeleteJohn dilinga jd->times fm
ReplyDeletechaz hillary->BBC swahili london
masoud masoud->TBC
sebastian maganga yupo clouds fm!
ReplyDeleteMisanya bingi lecture udsm anaish bahari beach
ReplyDeletesostenes kawa mfanya biashara mkubwa sana maana alkuwa anamilki kiwanja kinachoitwa club le mambo now kinaitwa 84 club na anaishi pand za kml.
ReplyDelete