DIVA LOVENESS" MTU AKISEMA MIMI RAFIKI AKE ANAJIDANGANYA, MIE HUWA NACHORA TU WATU"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Maneno ya Diva aliyoandika haya hapa:

"Just Saying… maana hawa hawa wanaozunguka wenzao na kujifanya wanajali ndio wanafiki na wambea hatari. nashukuru Mungu sinaga rafiki hata wakumpa siri zangu maana …… na kiukweli mtu akisema mie rafiki yake anajidanganya. mie huwa nachora tu watu hata sometimes nikiwa naongea nao, very selective. na Mpaka dakika hii miaka 4 sasa sinaga so called rafiki kibongobongo. no new friends. i ‘m always into My highschool buddies yaani. so know your Options and make the right choice"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hiv huyu bitch hana jpYA maana anajitaid a2fanye 2cmsahau akilini mwe2. Angejijua angekauka 2

    ReplyDelete
  2. Wats divas says its ryt nah friendship ki ukweli rather than U snitch na umbea tu yani ni bora uishi na ngedere porini kuliko binadamu cz unaweza pata nada case na ndio maana hatuendelei kwa kupoteza mda kwenye umbea

    ReplyDelete
  3. Hana jipy kijishfish 2,maneno meng but nthing cnsdr ths wrds

    ReplyDelete
  4. Uyo ataetaka urafiki na ww atakua ana mental problem

    ReplyDelete
    Replies
    1. ney nimeipenda hiyoooo.....kweli atakuwa na mental problem

      Delete
  5. mamayoo diva!! huna jipya snitch!! hujitambuagi tu

    ReplyDelete
  6. tatizo kubwa la wabongo ni kupenda sifa na ustaa pasipo sababu za msingi,, ww dada ungejijua ulivyo kituko ungenyamaza tu.
    .ni mbovu kama mavi.

    ReplyDelete
  7. Sura yenyewe chachu

    ReplyDelete
  8. Mhh ungejua usingesema! Hujijui tu nani wa kukusnitch wewe

    ReplyDelete
  9. wapi wew kwanza ndo maana unapakana kwenu ....kwenu kunaitwa Kasambya ni kata inayo patikana wilaya ya Missenyi mkoa wa Kagera..na babu yako alisha kufa alikuwa anaitwa MALINZI

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau umeua kaja dar anapaona marekani na sura yake nzito kama uji wa mgonjwa

      Delete
  10. jaman hy anaetaka urafik na ww c ataota ucku. maan hy sura inatishaaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni mbaya kweli asipopaka makeup utadhani bibi au msukule sema anajishaua huyooo

      Delete
  11. nani anaangaika na wewe...ndomana huna wa kunmweleza ujinga wako..kuwa na wewe labda awe na ubongo ulioachia nerves....

    ReplyDelete
  12. wakati cjamjua diva nilijuaga ni bongeeee la mdada mzur kama malaika.!!!!!! nilivomuona2 sura kama vampire! !!!!!!! pumbavu zake.

    ReplyDelete

Top Post Ad