AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Miss Ilala 2013, Doris Molel akipunga mkono kwa furaha baada ya kutwaa taji hilo. Kulia ni mshindi wa pili Alice Isaack na kushoto ni mshindi wa tatu, Clara Bayo.
Mrembo Doris Molel usiku wa kuamkia leo ametwaa Taji la Miss Ilala kwenye kinyang’anyiro kilichopfanyikia Ukumbi wa Golden Jubilee jijini Dar es Salaam. Katika kipute hicho wanyange 13 walikuwa wakiwania taji hilo. Yafuatayo ni baadhi ya matukio yaliyojiri.
PICHA: RICHARD BUKOS / GPL
PICHA: RICHARD BUKOS / GPL
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK