AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Nimekuwa nasikiliza watu wengi hasa watalii toka nchi za nje wakilalamikia tabia za baadhi ya wafanyakazi waliopo kwenye viwanja vyetu vya ndege.
Licha ya kusikia toka kwa wengine, binafsi yalishanikuta kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA). Wafanyakazi wengi wamekaa kirushwa rushwa tu!
Licha ya kwamba wengi wanafanya mambo kama vile akili zao hazipo vizuri vile nadhani hata elimu ya "hospitality" hawana kabisa.
Nadhani haya ni mdhara ya wakubwa kupandikiza watu wao wasio na uelewa ili kupitisha "sembe" zao.
Click HERE kusoma jinsi mtalii huyu alivyofanyiwa na wafanyakazi wa airport.
Source:Jamii forums
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Ndio nchi yetu hiyo. Hata kuonyeshwa toilet rushwaaa
ReplyDelete