AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Zile picha za aibu zilizoongoza vichwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii nchini pamoja na nje ya nchi hasa nchini Kenya zilizokuwa zikimuonesha mwanamuziki na msanii wa bongo muvi Manaiki Sanga akiwa na mabint mbalimbali wakiwa kwenye picha utupu sasa tukio hilo limechukuwa sura mpya baada mrembo aliyekuwa mshiriki Miss Utalii 2013 Fathiya Alfani kupigwa nusu ya kupoteza uhai wake na mchumbaake kwa madai ya kumdhalilisha.
Habari za uhakika toka kwa rafiki wa karibu na mrembo huyo ambae amevujisha picha hizi za kupigwa kwa Fathiya aliieleza mtandao huu “ Jamani tumuone huruma Mrembo wa Facebook kwani hali yake sio mbaya amepigwa sana kiasi cha kutolewa nafsi na mchumbaake anaeishi nae huko Buza” Kilisema chanzo hicho
Aidha katika tukio hilo ambalo mtuhumiwa namba moja na Manaiki Sanga aliyeshiriki kwenye filamu za Tikisa, Love Position, Unpassble, Last Coin na Sory my Soni ambayo amecheza kama staa na pia msanii huyo kwenye nyimbo anazotambanazo ni Nafanya Mambo, Ai Wewe Ft Dogo Janja, Twende Sawa Ft prodyuza Mswaki na nyinginezo. Inadaiwa Manaiki kwa sasa anaishi kama digidigi kwa kuhofia kutiwa mikononi na Jamhuri kwa tukio alilolifanya la udhalilishaji wanawake
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hizi story za kupiga wanawake ni upuuzi..kama amejidhalilisha we achana naye..sasa kutwangana alafu baadaye ati mwapendana..bullshit..
ReplyDeleteAsante mdau! Ivi unampiga mwenzio kama mbwa then what!? Kama kukosea kisha kosea kazi kwako kumsamehe nakuendelea na mapenzi yenu or msamehe kisha acha nae mbona warembo niwengi tu! very sad
DeleteMimi nilishaga sema siku mpenzi wangu akinipiga basi usiku asifumbe macho
maana nitamua akiwa kalala
Hizi story za kupiga wanawake ni upuuzi..kama amejidhalilisha we achana naye..sasa kutwangana alafu baadaye ati mwapendana..bullshit..
ReplyDeleteBe a real man dnt beat a woman, shame on u boy.
ReplyDeleteWe kwel dume fala yaan toka haanike mipicha yake aliyopga uchi bado 2 upo nae hadi leo anapga picha za uch na wanaume wenzako ndo unajidai kumpga hv nyie wanaume hv mbona wanawake waliostaarabka wapo we 2, duh! Cjapata kuona au we chz
ReplyDeleteMume bwege hyo sepa tu ya nn kuumiza kichwa na wanawake wa nn sasa kama alishajianika uchi kwenye mitandao?
ReplyDeleteUsimuue mende kwa nyundo,utaumia wewe.
ReplyDeleteMwanaume atakaekubali kuwaoa hao wanawake atakuwa mwendawazim
ReplyDeleteanatafuta umaarufu kunuka huyo binti hajapigwa na mtu wala hana bwana huyo mxiiii
ReplyDeleteAmetoroka milembe
ReplyDeletePicha zingine www.wibromedia.com
ReplyDelete