AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Source:Jamii forums
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
ni vizuri kwanza kuelewa shida hio ya kutopendwa kiini chake ni nini alafu utaitatua shida yako. kawaida yetu binadamu hatukumbali makosa yetu sana sana wake mwataka ng'ang'ana na mume na ndiye kichwa cha jamii wapata pale mwanaume aona haeshimiki ka kichwa ndipo mwanamke aanza kuonelea hapendwi. jaribu kubaini chanzo cha hio na utapata suluhu.
ReplyDeleteNivema uelewe na kujifunza toka kwake kuwa mumeo kitugani ambacho hakipendi au tabia ipi ambayo inamfanya akuchukie? kisha jilekebishe
ReplyDeleteKashakufanya kiwanda cha watoto sasa anakudunda ili uondoke avute Chuma kipya,miaka 27 watoto wa4 duuh.
ReplyDeleteduh shida ni nin kwan?
ReplyDeletepole ila mwambie ukweli kwamba anakutesa.
ReplyDelete