RAY C AFUTA YA MASANJA, NAE AOKOKA KWA KUBATIZWA LEO! CHECK TUKIO ZIMA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Yule dada yetu msanii maarufu wa nyimbo za ubongo wa fuleva leo hii amewaka bayana ya kuwa yeye na shetani sasa ni paka na panya. Amethibitisha hayo katika post zake za instagram. Wambea hatuna maneno mengi zaidi ya kusema angalia picha hizo na wote tuseme AMEN umechagua njia njema.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. tabia nikama ngozi huwez kuibadili

    ReplyDelete
    Replies
    1. kwann binadam mwenzako akifanya ktu kwa nia njema usijaribu kumtia moyo???!! Mungu akuongoze ktk maisha yako mapya mpendwa

      Delete
    2. Ngozi pia hubadilika. Sembuse binadamu. Biblia inasema peaneni moyo kwan hakuna mkamilifu. Barikiwa dada.

      Delete
  2. mungu amsaidie nampenda sana ray c hana maringo kama kajala anaboa kama nin akiulizwa kitu instagram hajibu utadhan ana lolote mfyuuuu

    ReplyDelete
  3. mungu amtangulie maana shetani hana aibu

    ReplyDelete
  4. Alibatizwa witney Houston ndio IJE Kuwa wewe .Na amekufa na hayo madawa

    ReplyDelete
  5. c amesema anarud kwenye muzik au

    ReplyDelete
  6. watu mna maneno jamani!

    ReplyDelete
  7. Karibu sana, tunasubibiri nyimbo za injili

    ReplyDelete
  8. To God be The Glory,Chaguo jema maishani

    ReplyDelete
  9. fungu jema my dear

    ReplyDelete
  10. Na mungu wetu akuumbe upya maneno matendo na mawazo yako. Badala ya kuiimbia dunia mwimbie Mwenyezi Mungu. Utabarikiwa dada. Hongera na ahadi yako iwe ya kweli

    ReplyDelete
  11. HERI YAKO DADA! UAMUZI WA BUSARA HUO.STAY BLESSED WAEGO.

    ReplyDelete
  12. HONGERA, TINAKUOMBEA

    ReplyDelete
  13. ray c nilidhani mungu kakuokoa na madawa utatubu ndio kabisaaaa sasa umeacha barabara ya lami umeshika rough road dini ya kiislam ina mlango mmoja tu wa kuingilia ya kutokea hakuna ungekuwa kule kwetu siku nyingi tushakukata shingo ama kweli alieandikiwa kupotea huwezi kumuongoza pole yako dada moto wa jahanam unakungoja

    ReplyDelete

Top Post Ad