USHINDANI WA KIBIASHARA:TANGAZO LA AIRTEL LINAWAKEJELI WENZAO TIGO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ushindani Noma......Kama umebahatika kuliona tangazo la Airtel kwenye TV haswa kwenye kile kipindi kinachorushwa ITV na akina Adam Mchomvu na Double G. 

Anaonekana jamaa mmoja aliyeshinda BAJAJ huku akihojiwa na waandishi wa habari akiulizwa Maswali anajisikiaje kuwa Mshindi wa BAJAJ!? Jamaa akawa haonyeshi kufurahishwa na Zawadi hiyo. 

Mara ghafla huku akiwa anahojiwa na waandishi akapokea simu inayomjulisha kuwa ameshinda NYUMBA. Furaha iliyompata hadi ule Ufunguo wa BAJAJ akamtupia Mwandishi wa habar huku akimwambia kuwa Hiyo BAJAJ akaitumie na Mke wake.

MANTIKI;
Airtel wanawakejeli wenzao wa TIGO kuwa zawadi zao si lolote kwa Wateja wao. Mambo yote yako Airtel na Mijengo yao.

Kama utakumbuka siku za nyuma lile tangazo lao la hamia Airtel,kwenye tangazo lao walikuwa wakitumia Rangi za Tigo wakionyesha wateja wao hulazimika kupanda juu ya Miti ili waweze kuwasiliana.

Embu Ngoja tusubirie wengine pengine wao watakuwa wanatafrisi nyingine baada ya kuliona hili Tangazo.

Source:Jamii Forums
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad