AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Hayo ni maneno ya mwanadada Elizabeth Michael (LULU) aliyoyaandika kupitia kwenye mtandao akiwaombea kheri Mzee Nguza na mwanawe Papii Kocha wanaosubiria kusikilizwa kwa rufaa yao ya kesi ya ulawiti inayowakabili
Toka atoke jela, mwanadada lulu ameonekana kubadilika sana kitabia tofauti na alivyokuwa akionekana hapo awali.
Udaku Specially Blog
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Mtu ajaribiwapo asiseme ninajaribiwa na Mungu maana Mungu hawez kujaribiwa na maovu na wala yy mwenyew hamjaribu mtu lkn kila mtu mmoja hujaribiwa na tamaa zake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa.......yakobo 1:13 nmekusahihisha tu lulu ila nko pamoja nawe kumuombea babu seya atoke
ReplyDeleteMungu hawanusuru kma alivokunusulu ww hpo,nko pmj nawe bi shost kumuombea babu seya atoke
ReplyDeletekil la heri viking family
ReplyDeleteNi Mungu yupi anayezungumziwa hapa,ni Mungu wa israel au Mungu wa kichina? Lulu unatuhumiwa kwa mauaji,Nguza kwa kuwala tigo watoto,suburini hukumu zenu,tubuni,
ReplyDelete,acheni kujikosha ili muonewe huruma.
Ukweli ni upi kama lulu alimuua kanumba na akatoka jela hata kama hawa hawakubaka na wamesota jela siiamin serikali na sheria za tz lulu acha unafiki malaya wewe
DeleteUkweli ni kwamba kesi ya lulu haijaisha,yupo nje kwa dhamana kwa tuhuma za kumuua kanumba,,lolote laweza kutokea.Lulu anajenga mazingira ya kuonewa huruma kupitia bsbu seya na kujifanya kaokoka ili atakapohukumiwa jela apate wapumbavu wa kumtetea.
DeleteHata wakimuachia damu ya kanumba itatoa majibu tuu i dont pity her at all
DeleteUtashangaa mikono yake imetapakaa damu ya kanumba lakini kuna mijitu inamuhusudu na hata kutaka kumuoa .
Delete