AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Naibu Waziri wa wizara hiyo, Philip Mulugo, alitoa kauli hiyo jijini Dar es Salaama mbele ya Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii na kuongeza kuwa kufutwa kwa vyuo hivyo ni kutokana na kutokufuata utaratibu wa kusajiliwa.
Alivitaja vyuo hivyo ni Media and Research Center, Vision Hotel and Tourism College, East Africa College of Hospitality and Tourism, The Africa Institute of Business Management na Aspiration Training Center, vyote vya Dar es Salaam.
Vingine ni Dar es Salaam School of Hair Design, Media and Values Training Institute na Information Technology Training Center vya Dar es Salaam. Pia alikitaja Chuo cha Morogoro School of Medical Sciences cha Morogoro.
Katika hatua nyingine, Mulugo alikiri kuwa kuna upungufu katika kutoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kupitia bodi ya mikopo.
Alisema kuna changamoto nyingi zinazoikabili bodi hiyo zikiwamo urejeshwaji wa mikopo kwa wanafunzi waliomaliza chuo, mfumo wa utoaji wa mikopo, ufinyu wa bajeti na makosa yanayotokana na wanafunzi kukosea kujaza fomu za mikopo
Udaku Specially Blog
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Wazri sophia simba na shangingi mwenzio mbunge wa kudandia mary mwanjelwa mutamuweza jembe letu mbunge sugu¿Akirudi china atawafira.
ReplyDeleteDuh! Huyu mmoja alishafirwa sana na mdogo wa mwanamuziki mmoja maarufu,limebaki shimo kubwaaaaaaaaaa!!
DeleteChezea sugu wew..chakaza baba
ReplyDeletewadau mbn celewi niambieni bac tujue wote
ReplyDeleteUtajua tu...'
DeleteHa!ha!ha! Wabongo bwana!
ReplyDeleteSasa sugu na hii habarivya kufungiwa vyuo inahusiana vipi? Hebu acheni ulevi
ReplyDeleteHa ha haaaaa umenena....
Delete