AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Karangi amesema kuwa mwanajeshi wa tatu aliyeshukiwa kwa uporaji anachunguzwa.
Awali Karangi alikanusha kuwa wanajeshi walifanya uporaji kwenye jengo hilo licha ya picha za CCT kuonyesha wanajeshi wakibeba mifuko ya plastiki kutoka kwenye moja ya maduka makubwa yaliyokuwa ndani ya Jengo la Westgate.
Hivi karibuni wanamgambo wa Somalia, al-Shabaab walikiri kufanya shambulizi hilo na kuwateka nyara Wakenya kadhaa waliokuwa ndani ya jengo hilo kwa siku nne.
Watu 67 walifariki na mamia ya wengine kujeruhiwa.
Wakati huohuo, mkuu wa kitengo cha uchunguzi wa uhalifu katika idara ya polisi,Ndegwa Muhoro alisema kuwa mmoja wa magaidi waliokuwa ndani ya jengo hilo walipiga simu nchini Norway wakati walipovamia jengo hilo.
Mmoja wa washukiwa wa shambulizi hilo ametajwa kuwa Hassan Abdi Dhuhulow mzaliwa wa Somalia ambaye ana uraia wa Norway.
Jeshi limesema kuwa magaidi wote wanne waliofanya shambulizi hilo waliuawa.
Udaku Specially Blog
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
wajeshi walioiba westgate walikuwa sio wawili bana video inaonesha wate walioingia ndani walichukuwa vitu na kutia kwenye mifoko meipe na kuondoka bana. hao wawili wameonewa tu bana!
ReplyDeleteusipende kuongea usichojua.kuna mali zilizookolewa, una uhakika gani kama sio hiyo mifuko myeupe?
Deletemagaidi hao wanne waliondoka usiku huo huo wa jumamosi na haijulikani waliko; hakuna aliyekufa;
ReplyDeletehakuna gaidi alikufa wote walifanikiwa kukimbia kama kweli wamekufa wangetuonesha miili yao sisi wananchi wa kenya ili tuamini kuwa wamekufa!
ReplyDeleteMbona jeshi la kenya halieleweki? Kwani baada ya Mohamed Ally kuonyesha video ya wanajeshi wakitoka na mifuko myeupe kwenye kipindi cha jicho pevu , huyo cjui mkuu wa jeshi alisema c kweli. Sasa iweje wawafukuze kazi? Mmmmh makubwaa
ReplyDeleteUbabaishaji huo
ReplyDeleteMhh au ni hasira za kutowapata magaidi mnahamishia kwa wanajeshi? shukran za punda izo kumbe ivyo vitu mlitaka waondoke navyo magaidi au viwake moto mari kwa mari.
ReplyDeletehongera sana serikali ya Kenya. . .saaaaaaaaafiiiii!
ReplyDelete