WEMA SEPETU: NIKIVUTA FEGI INANITOA MAWAZO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Gladness Mallya
STAA wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu amekiri kuwa huwa anatumia sigara ‘fegi’ ili kuondoa mawazo.
Wema alifunguka hayo juzikati kupitia kipindi chake cha In My Shoes kinachorushwa na Runinga ya East Africa ambapo alikuwa akifungukia maisha yake likiwemo suala hilo la kuvuta sigara.

“Huwa navuta sigara pindi ninapokuwa na mawazo, nikivuta huwa inanisaidia kupunguza na kunifanya niwe vizuri,” alisema Wema.
-GPL

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. angalia wasikuchanganyie unga kwenye hiyo fegi ...... wengi wameingizwa kwenye unga kupitia njia hiyo .....

    ReplyDelete
  2. Kweli mdau... Asije akachanganyiwa tu... Na mumie mm nakushauri kama unaweza tafuta njia nyingine ya kupoteza mawazo.. Fegi z adictive.. Mzaha mzaha utakuwa addict which z not good... Ww ni mrembo bwana

    ReplyDelete
  3. Avute unga mara ngapi ni teja mwaka sasa

    ReplyDelete
  4. nyie hamjui anamaanisha fegi gani. ni MB**O. tena sasa atakuwa kapunguza sana mawazo kwa sababu kavuta sana ya domondo. sister mi nipo nina fegi yangu waweza vuta mda wowote utakao dada

    ReplyDelete
  5. MSUDUKI .we unato.........mbw kwn iyo sifa kuvt fg uwo n usenge! HNA ATA HAYA MTOT WA KIKE.

    ReplyDelete
  6. Hapo tu ndo tunapokosana na mimi

    ReplyDelete
    Replies
    1. kwani unatetea nini hapa? au na wewe ni mmja wa watetea maovu? hapa ukibugi unapewa makavu laivu

      Delete
  7. Jaman muwe wastarabu

    ReplyDelete
  8. NA TEJA RAY C ALIANZA HIVYOHIVYO

    ReplyDelete
  9. MALAYA MBOVU!

    ReplyDelete

Top Post Ad