AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Tukio hilo la kuhuzunisha lilitokea wiki iliyopita, usiku wa manane katika duka la msanii huyo lililopo Kinondoni – Biafra jijini Dar es Salaam ambapo vitu vilivyoibwa ni pamoja na Chupi zake, viatu, nguo, pochi, simu na fedha.
“Kwa kweli nimechanganyikiwa sana, hadi sasa bado sijajua thamani ya vitu vyote kwa jumla ni kiasi gani lakini nasema sitaki lawama. Walioniibia ni heri wanirudishie tu kwa njia yoyote maana kitakachowakuta hawatasahau.
“Nimeshakwenda Bagamoyo kwa mtaalamu wangu na kazi imeshakwisha. Natoa siku saba vitu vyangu viwe vimerudi vinginevyo...” alisema Aunty Lulu bila kufafanua zaidi.
Udaku Specially Blog
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
huyu naye unashindwa kumuomba mwenyezi Mungu unaanza kukimbilia kwa sangoma na hawarudishi sijui ...ila pole san!
ReplyDeleteMalaya 2 huyo hana lolote anatafuta kiki, pumbaafuuu!
ReplyDeleteMtaji wa mawazo y asikimbilie kwa sanagoma,hana kitu atakalia kuonyesha mitako tu kwenye mitandao
ReplyDeleteJinsi gani ulivyokuwa mshirikina, badala ya kumuomba Mungu unakimbilia bagamoyo.
ReplyDeletekumbe Anti lulu Mshirikina jamani... Looo
ReplyDelete