BAADA YA KUACHANA NA DIVA PREZZO AHAMISHIA PENZI KWA MTOTO MWINGINE WA KICHAGA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Inaonekana watoto wa kibongo watamu kweli!!! Baada ya kulipotiwa kutoka na dada zetu kadhaa wa kibongo na juzi kati kusababisha VITA kali kuliko ile ya ALSHABAB kati ya Diva na Huddah sasa hivi RAPCELLENCY EL PRESIDENTE PREZZO aamua kutoka na mtoto wa kichaga anaejulikana kama STALLISHA TILLYA au ChaggaBarbie ambae makazi yake yapo kwa Obama..
Mapenzi hayo yanayoonekana bado mapya mapya yanachukua hatam zaidi Instagram uku baby baby zikiwa nyingi kuliko...
Watabiri wa mambo wanasubili kuona mwisho utakuwaje maana eheheheheh shemej yetu nae ajambo kwelikweli...
We love you Kenyans mnakaribishwa na wengine kuja kujichagulia sio Prezzo peke ake, na Kina Diamond mkatuletee mawifi wa kikenya ihihihihh
PICHA ZINAJIELEZA!!!





-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ntarudi baadae kupata yaliyojiri

    ReplyDelete
  2. Mtoa thread hii hajawahi ishi ulaya kabisa , sasa hapo cha ajabu nn, kwanza inaonesha ilikuwa ni issue ya cku moja tu anake hata nguo ni zile zile, pili mashabiki wa mziki kitu ku hug, kiss mbona kawaida sana tena shavuni bana. ukipata hela tembea tembea kidogo bana ili ukiona mavitu kaa hayo inapotezea tu

    ReplyDelete
  3. toka mjue kutumia haka kaujuzi ndo kwanza mmekuwa mkipositi vitu havina hata maana,cha ajabu nini hapo? Nyooo.

    ReplyDelete
  4. Bora angebaki na mnaija prezoo kimeo

    ReplyDelete
  5. Huyu mwanamke starlisha aka chargga nyoko ni jamvi la wageni mtu mzima ana mnya huyo prezoo anajifanya mtt nyooo,ndani ya mwez ashaweka mahusiano na wanaume wawili wasanii ana shobo saaana hajui anajihaibisha tu..mfyuuuu malaya mjinga

    ReplyDelete
  6. Big up Stella japo umeweka history kwa watoto wa Majengo Secondary. Chezea wewe!!

    ReplyDelete
  7. Wanafunzi wa Majengo mmetisha haya karibu hm shem letu.
    By Veronica Lukindo Dsm.

    ReplyDelete
  8. Kumanyoko wote mnaosapoti

    ReplyDelete
  9. Sasa angebaki na mnaija wakati manija.alikufa au nawewe unayecomment humu marehemu pia.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sio mnaija babu bali mnaija wa bracket nawewe kujifanya,unajua kumbe hujui kitu mnaija wa bracket,alikuwa anaumwa kansa ila kashapona

      Delete
  10. Prezzo anasambaza kirusi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hawajui kama gold kafa na ngoma waache

      Delete
  11. So Wasup diva,2 much proud and talk kikowapi sasa ukafikia ata kudharau Wanaume wa bongo na kusema wananuka..JST SHAME ON U little Fool.

    ReplyDelete
  12. So Wasup diva,2 much proud and talk kikowapi sasa ukafikia ata kudharau Wanaume wa bongo na kusema wananuka..JST SHAME ON U little Fool.

    ReplyDelete

Top Post Ad