DIAMOND "KUVUJA KWA NYIMBO YANGU WA "NIKIFA KESHO" HAKUWEZI KUNIPUNGUZIA CHOCHOTE"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

‘Kuvujisha Nyimbo yangu hakuwezi kunipunguzia wala Kunidhuru chochote… Sanasana utanizidishia Umaarufu na kunipa Show zaidi… Kama nimeacha kurecord nyimbo Studio kwako Uspanick, Relax.. tafta Msanii mwingine Mkali zaidi yangu umrecordie Ngoma Ahit kushinda mimi… .ila Kuvujisha Unajisumbua bure’ – Diamond
‘Hisia zangu zapelekea kuandika haya nikiwa na uzuni ndani yake kwa kuwa muda nilioutmia na akili nliotumia dhairi ni Mungu Pekee anajua ndio Maana aina budi namwachia Mungu pia….Imani iliyo ndani yangu nikiamini kuwa kutoa ya Moyoni uufanya Moyo kujengeka Upya, Mwenyezi Mungu Atanijenga Upya na kuwaandalia kitu kipya hivI karibuni’ – Diamond

‘Hii ni changamoto kwangu na Kuweza kujua sheria za Muziki wangu na kusimamia Haki zangu’

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. safiii waambie

    ReplyDelete
  2. yec diamond,c unajua tena co kila m2 anaefurahia mafanikio yako?

    ReplyDelete
  3. Kumbe hua inauma,kwli nimeamn mkuki kwa ngurue

    ReplyDelete

Top Post Ad