JOHN MNYIKA"NACHANGIA ASILIMIA 20 YA KILA MSHAHARA WANGU KUBORESHA ELIMU JIMBO LA UBUNGO"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Leo nimekabidhi madawati 120 Kata ya Manzese kwa shule tatu za msingi fedha kutoka katika mfuko wa jimbo. Bado kuna upungufu wa madawati 570 ambapo dawati moja linagharimu Tsh. 80,000 hadi 100,000.

Binafsi nachangia asilimia 20 ya kila mshahara wangu kuboresha Elimu ndani ya Jimbo la Ubungo!

Ungana nami tuboreshe elimu na kuimarisha pia maabara kwa kuchangia kupitia MPesa 350350.

Pamoja Tunaweza.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wabunge wote waonyeshe mfano ktk majimbo yao ili tusonge mbele

    ReplyDelete

Top Post Ad