AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Hii ni kali ya mwaka imegundulika kuwa Kanye West na Kim Kardashiam wamekubaliana kusign mkataba ambao endapo wataoana kwa ndoa hivi karibuni basi kila mtu atakuwa na mali zake kivyake ili endapo wakiachana wasigawane mali jambo ambalo huleta vita sana katika mahusiano ya ndoa endapo yatavunjika.....Katika hilo watakuwa na account moja tu ya kuendesha familia ambayo watakuwa wanachangia ...Je wewe walionaje hilo ? linafaa hapa Bongo ?
Udaku Specially Blog
----
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
kanye kamuweza huyo goldiger kim,safi sana...Tunda la msimu
ReplyDeleteDah kim hachomok safari hii mipango yake imeshindwa kanye nouma
ReplyDeletehe did better,congrats to him@west
ReplyDeleteChezea kanye west...alisha soma mchezo kitambo.
ReplyDeleteDuuh,,,haya make more money online visit this link ryt now...
ReplyDeletehttp://www.getpaid4visits.com/index.php?refcode=14827
jaman pole ma dear wema sepetu kwa kufiwa na baba yako mzee sepetu@we mdaku mbona hii habar hujaweka?
ReplyDeletewewe hapo juu kim has been a millionare since she was born she dont need gold to dig just fame
ReplyDeletewewe hapo juu kim has been a millionare since she was born she dont need gold to dig just fame
ReplyDeleteKim ana pesa kuliko Kanye ! Goldiger my ass, kwanza sio Kanye alie fanya maamuzi hayo bali ni Kim.
ReplyDelete