AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Hakika Baada ya zile Goli tatu za Yanga kipindi cha kwanza hakuna aliye amini kuwa simba wangezirudisha zote ..baada ya kipindi cha pili Simba walirudisha magoli yote na kufanya Baadhi ya Mashabiki wa Yanga kuzimia kwa kutokuamini kinachotokea uwanjani kwa vile walikuwa washajiwekea wamesha shinda....Kweli mpira dakika 90
Udaku Specially Blog
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Wanajiamini kuwa wameshinda kwa wajanja wao simba wakati game haijaisha! Wajinga hao!
ReplyDeletesimba wanaume mi jana heshima
ReplyDeletesiku zote mwanamke ndyo anayetangulia guest,,kidume huwa kinafata nyuma badae
ReplyDeleteMi namtaka yule mshabiki wa yanga aliesema atajinyonga yanga isipo chukua point 3!!
ReplyDeleteUwe na uhakika na unachoandika. Nilikuwepo uwanjani, hao unaodai walikuwa wanazimia walikuwa wanatoka eneo ambalo walikaa washabiki wengi wa Yanga na ilikuwa kipindi cha kwanza wakati Yanga inaongoza. Kipindi cha pili waliokuwa wanazimia walikuwa wanatoka upande wa Simba wakati wanaanza kusawazisha. Si kama unavyosema waliokuwa wanazimia washabiki wa Yanga wakati Simba inasawazisha
ReplyDeleteUpuuzi
ReplyDelete