AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Endapo unaamini hayo yanaweza tokea wakati wowote, basi huna budi kumuheshimu yule asiye nacho, ulicho nacho wewe sababu wakati wowote unaweza ukawa katika hali aliyonayo mwenzako
Udaku Specially Blog
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Pamoja na hayo kwa nin wapange bidhaa barabaran?kutafutiana lawama tu.
ReplyDeletesio kutafutiana lawama wenye pesa wanadharau sana kana kwamba pesa wamepata kwa akili zao wanasahau kabisa kama kuna mungu, akiamua siku moja tu unatembea kwa mguu kibaha mpaka ubungo
ReplyDeletesawa kabisa
DeleteHakuna cha dharau hapo.
DeleteWabongo mmezoe kugeuza yasiyoruhusiwa wala kukubalika kwa hisia za kutokuwa na uwezo au kipato.
Kwanza nani mwenye ruksa ya barabara? Muuza nyanya au magari?
Jamani tustaarabike. Tutumie huduma na amali zetu kama zilivyopangwa....
Kama ungekuta bucha kwenye choo cha jumla ungesemaje?
Kila mahala pana matumizi yake... Tuyazingatie!! Ok blaza????
kwanini wapange vitu chini? wanaboa sana, hapo sio sehemu yake watafute sehemu sahihi...kweli kariakoo hawa wapanga vitu chini wanaboa
ReplyDeleteKweli kwanini wapange njian?hata hapa mwanza soko kuu unakuta wamepanga njiani hata mtembea kwa miguu anakosa sehem ya kupita je kwa mwenye gari?huko ni kutaftiana lawama.
ReplyDeleteCity fanyeni kazi zenu kwa mujibu wa sheria kuepusha migongano kama hyo.kupanga bidhaa barabarani sio ruhusa waondolewe na kutozwa fine hawatarudia.wewe unaesema wamedharauliwa fikiri sawasawa.
ReplyDeleteKukanyaga chakula wakati wengine hawana kabisa ni kufuru,na malipo yake ni hapahapa duniani.
ReplyDeleteKada mmoja wa ccm hapa sinza, alikuwa akienda bucha anaagiza kwa sauti kubwa auziwe mguu mmoja wang'ombe kwa ajili ya mbwa wake,zlipokauka pesa akawa ananua kilo moja ya kula yeye kwa siri,siku hizi kachoka hata ya dagaa anaipata kwa mbinde
ReplyDeletehuyo cada yeye alikua anataka sifa akifikiri ndio amefika ila hawa wanaoweka bidhaa barabarani kwakweli wanakiuka sheria wani barabara ni ya kupita magari na watembea kwa miguu iweje bidhaa zipangwe barabarni jamani huyo hakufanya dharau ila wenye makosa ni hao waliopanga bidhaa
ReplyDelete