AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Hatimae yule Nguli wa Music wa Bongo Flava Mr Blue Amefunguka na Kuongelea kupotea kwake kwenye Game , Mr blue Amesema kwa sasa game limechange inabidi kusoma kwanza mchezo ndio kuingia uwanjani ....ila ana umia sana anaposikia watu wakisema kuwa hana mpya katika game hilo la music wa kibongo ......Kwa muda sasa Dogo huyu hajatoa wimbo mzuri ambao umewagusa watu na wengine wakileta umbea kwamba ameanza kutumia unga....Anyways ..Dogo we are waiting for u ukishamaliza kusoma mchezo drop us a HIT......
Udaku Specially Blog
----
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
anaonekana kama teja
ReplyDeleteKweli dogo unajinakubwa ktk game, unapoachia ngoma watz wankuwa makn sana ktaka kujua ni kitu gan umefanya,so unapoachia ngoma inatakiwa ilingane na ukubwa wa jina lako, sio unazingua tu,B.O.B watakupoteza wale,,
ReplyDeleteTATIZO HUYO DOGO ALIKIMBIA SHULE KWENDA KWENYE MUZIKI NA SASA MZIKI UMEMKIMBIA NAMSHAURI ARUDI SHULE AANZE KUSOMA QT...................................Niite ORUJONJOMOGO.
ReplyDeleteAU KAMA VIPI ZILE NYIMBO ZAKO ZOTE KAZITOE REMIX.Niite ORUJONJOMOGO.
ReplyDeleteBlue tafadhali sana usipake mkorogo vidole vyako vinaharibika,,,kama huwez kuacha bs make sure ukishapaka korogo lako unanawa na sabuni mikono vizuuuri,,,,,
ReplyDeleteAcha kuchunguza wa2 ww sasa akipaka mkorogo we kinakuchoma nn, post coment yenye kueleweka, PUUMBAAFUUU!!
ReplyDeletemr blue umekwisha!kama vipi nanda ukalime nyanya siku hizi ziko na bei xana!
ReplyDeleteblue kabla ya kupiga hiyo pichu ulipiga punyeto nini naona vidole veupe au macho yangu tu!
ReplyDeleteHahaaa hapojuuu Balaaaa alipiga naniu........? Hahaaaaaaaaa!a
ReplyDeleteMwacheni mke wangu jamani mbona ivo
ReplyDeletebyser fundi anajua kibongobongo bonge la msanii.
ReplyDelete