AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Zahir alitoa taarifa hiyo kwenye Twitter, kumjibu shabiki aliyemwambia kuhusu shindano hilo.
zahir ally zorro @ZahirAlly
@achirex_mtz Thank you Sir, But i'm workin' on something else now. No longer with tpf6
3:07 AM - 7 Oct 2013
Udaku Specially Blog
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
kwanini haupo tena
ReplyDeleteMambo ya vijana waachie vijana mzee Zollo, umri wako umeenda hamtaelewana lugha, kubali kuzeeka mkuu hamna jinsi, nilikuwa darasa la kwanza nakusikia na miziki yako ya mashujaa tumerudi, kimulimuli, leo hii nina miaka 50 bado tu unataka ujana? waachie wenyewe mkuu watakuvua nguo sana. nilisoma tweeter za wakenya daaaah c mchezo, nimesikia aibu mimi.
ReplyDeleteuamuz nzur
ReplyDeletesafi sana i support u, wakenya wanajiona wanajua sana especially Judge Ian Mbugua . good decision let them swallow their words. una experience ya music kuliko wao but they think they know much!!!!!!
ReplyDeletesema nawewe mzee wetu punguza ujana wenzako kina bichuka mbona wapo kihalisia.
ReplyDeleteBORA HATA WAMEKUTEMA MAANA AINA YA MUZIKI AMBAO UNAUFANYA HAUENDANI KABISA NA CATEGORIES ZA TPF,ISITOSHE WEWE KUWA MWANAMUZIKI HAIMAANISHI KUWA ETI NDO UTAKUWA NA UWEZO WA KUJUDGE V IJANA WENYE VIPAJI VYA KUFA MTU PALE TPF! UNGEENDA KUTUAIBISHA TU KULE,KWANZA NASIKIA KIINGEREZA CHENYEWE NI CHA UGOKO!
ReplyDelete