AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Akizungumza na baadhi ya mashabiki wa tamasha hilo waliokuwepo viwanjani hapo baada ya hitilafu kurekebishwa, Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba alisema kuwa shoo itaendelea saa 9 na wasanii Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' Davido kutoka Nigeria, Mohombi kutoka Sweden, Nay wa Mitego na Bendi ya Twanga Pepeta watatoa burudani ya nguvu.
Aliongeza kuwa mashabiki wategemee 'sapraiz' kibao wakati wa shoo hiyo. Wasanii waliopiga shoo baada ya umeme kurudi katika hali yake ni pamoja na Kalapina, Chid Benz na Darasa japo mashabiki wengi walikuwa wameondoka viwanjani hapo
Udaku Specially Blog
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
cloud's mjipange coz hamjawatendea haki!!
ReplyDeletetatizo mlikuwa mnashukulika nakupendezesha jukwaa hamkuangalia au kujipanga kwenye mambo muhimu kaumeme yahaya bwana poa lakini
ReplyDeleteKumamayo zenu clouds..
ReplyDeletena watanyatiwa kwa nyumaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Deletekumbukeni clouds malipo ni hapahapa...............4sure mnajua mlipokosea na sifa ya muungwana ni kkukiri makosa yake na kujirekebisha,kama vipi ombeni radhi kwaa mliowafanyia kinyume sina haja ya kuwataja,ili mambo yawe kamakama kamazamaniiiiiiiii
ReplyDeleteRady jay dee kafanya mambo kwa clauz!! sio buree dada mbaya yuleeee
ReplyDeletewe anony hapo juu unawashwa eeh sasa jide anahusikaje hapo kma sio umburula!!!
ReplyDeletehahahahahaaaaa jide katola wap tena
ReplyDeleteruge na cloudz wote n mashoga na wasenge sana
ReplyDelete