AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Vijana wawili wakali kabisa katika Music hapa Bongo Suba Mkole ( Chriss Material na Wambua Classic) Kesho watazindua Video ya Wimbo wao Mpya unaotamba Redio Mbali mbali hapa Bongo unaoitwa Sonde ..Video Hiyo Itazinduliwa Ndani ya Kipindi cha cha TV Friday Nite Pale EATV....Video Imefanywa na Mac Media chini ya Director Abas Adam.....
----
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
Safi
ReplyDeletepunguzeni promo za kijinga bwana mpaka mnakera, tunataka tuwajue kwa kazi zao na sio mbwembwe na promo zao.
ReplyDeletekama hujui hujui!
Watu wenyewa hata hajajulikana,achen chema kijiuze chenyewe,mmpewa hela ya promo nn?
ReplyDeleteWako kama dogo mmoja simpend anafos ustaa mamae ivi nyie mb dogg mnajua alitoa nyimbo redion watu wakawa hawamjui wanamtafuta sio nyie wauza sura nyimbo hatuijui tayari mipicha shenz zenuuuuu
ReplyDeletesio lazima wote tuimbe
ReplyDeleteNay katomba wote ao
ReplyDelete