AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Wakati bado unasubiriwa uchunguzi kuhusu tukio la kinyama lilomkuta mwandishi wa habari wa itv na radio one Ufoo Saro,taarifa nilizozipata kutoka kwa ndugu wa marehemu Atery Mushi,ni kuwa marehemu mushi alikuwa ana ugomvi wa muda mrefu kuhusu nyumba ambayo ilikuwa ikimilikiwa na marehemu Mushi.ni kuwa wakati marehemu Mushi akiwa nje ya nchi,Ufoo alifanikiwa kubadilisha hati za umiliki wa nyumba hiyo iliyopo maeneo ya Minjingu,manispaa ya Arusha kwa kushirikiana na mama yake.Marehemu Mushi aliporudi alijaribu kuwawekea vikao x3 kuhusu jambo hilo lakini hakufanikiwa.Kutokana na dhahama hiyo ndipo marehemu Mushi alipoamua kuandika maelezo juu ya mambo aliyofanyiwa na uamuzi aliouchukua.barua alioindika aliiacha nyumbani kwa mama yake Ufoo.kama uchunguzi ukikamilika huenda police wakaiweka hadharani,pia kuna uwezekano wa Ufoo kukabiliwa na mashtaka mara atakapotoka hosp. kutokana na maelezo ya barua aliyoiandika Mushi kabla ya kujiua.Marehemu Atery Mushi anatokea ktk kijiji cha Uru Maeda mkoani Kilgmanjaro...soure:ndugu wa karibu wa marehemu Mushi.
Source:Jamii Forums
Udaku Specially Blog
----
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
Ukweli utajulikana tu. Kumbuka kwamba utavuna unachopanda, usitegemee kupanda mchicha ukavuna mahindi
ReplyDeleteYa kweli kabisa hayo. Ufoo amevuna alichopanda.
Deletekaskazini ni balaa
ReplyDeleteSasa ndio mnaongea, mtu hawezi toka kule Sudani akaja kuua tu watu ovyo lazima iko namna. Ufoo c mMACHAME?
ReplyDeleteTunasubiri Episode 3
HILI LIWE FUNDISHO KWA MAMA WAKWE WOOTE WANAOINGILIA MAPENZI YA WATOTO WAO NA KUWACONTROL. KAMA NI KWELI UFOO ALIBADILI HATI LAZIMA ATAKUWA ALIPATA USHAWISHI KWA HUYO MAMA. MAMA UFOO REST WHERE YOU BELONG (RWYB)
ReplyDeleteUkimuona hata hafanani na aliyoyafanya. Kumbe tapeli wa kike, utabadilishaje hati ya Mtu bilateral ridhaa yake. Amekosa mama, mume na hiyo nyumba atanyang'anywa.
ReplyDeletewanawake wakimachame ndio walivyo mtakufa mbwa nyie wanaume wanatafuta hela afu mnakuja kuwatapeli kisenge tuu
ReplyDeletekasikazin oyeeeeeeeeeeeee, na nyie wanaume ndio mjifunze, chezea kasikazin.
Deletendugu yangu akioa huko taliaje
Mnauhakika lakini au umbea wa jf
ReplyDeleteHuyu dada Mungu kamuokoa na kifo hivyo anapaswa atubu dhambi, nadhan nafsi yake anajua nini sababu ya mumewe kufanya tukio hilo ambalo si la kawaida kibinadamu hadi kupelekea vifo vya mama yake mpenzi na mume wawe mpenzi. Tumwombee apone haraka.
ReplyDeletewanawake wakimachame tamaa mbele,hawanaga mapenzi ya kweli wengi ma pretender,tena ukichelewa ana kuua yeye anabaki na mali na watoto....pumbavu kabisa
ReplyDeletendo mkaoe wachaga muone,,,,maslahi mbele sheeenz
ReplyDeleteha ha!! mi hapana taka hizo kabila kabisaa
DeleteYaan hawafai kabisa. kama ni kweli,pesa inatafutwa kwann watu wasiwe na subra?
DeleteUkweli anaujua ufoo.
ReplyDeleteFamily ya Ufoo na kituo anachofanyia kaz walijifanya kuficha ukwel oooh eti kisa ni WIVU kwa mwanamke gan ss?!?kumbe mnaficha aibu yenu wivu amuue hadi manamkwe? Mkae mkijua ukwel tutaujua kupitia family ya Mushi coz inawauma mmesababisha kifo cha mpendwa wao kwa dhuluma yenu!! NI MM UFOO SARO WA ......!!!!!! Shenz type tapeli mkubwa.!
ReplyDeleteMm csem maana naogopa Ndg yangu kaoa huko hapa mavi debe jamani makubwa hayo!!!!!
ReplyDeleteMpaka WASUKUMA wameishtukia KASKAZINI MASHARIKI baada ya kuona MH. wao Paulo Bomani akiadhirika. Jamani hii ni karne ya ngapi acheni utapeli wa zamani, tafuteni mbinu mpya (yaani kwanini usitafute chako?)
ReplyDeleteMachame hiyi balaa lazima uzurumiwe
ReplyDeleteJamani kwanini ufoo alifanya uhuni kama huo?
ReplyDeleteEt wivu wa mapenzi wakati m2 kapigwa changa!
ReplyDeleteNI MIMI UFOO SARO WA AITIIIVII
huyo alikuwa mchaga mwenzake ndio mana aliwashtukia lakini ingekuwa kabila lingine huyo mushi angewahiwa yeye kitambo.
ReplyDeleteUfoooo kwanza Kwa sura tu anaonesha tapeli mwizi
ReplyDeleteUfoooo kwanza Kwa sura tu anaonesha tapeli mwizi
ReplyDeleteInatisha jamani,miye nimempa mimba mtoto wa kichaga mida hii napanga kumuoa,kwa style hii natishika kidogo.cjui nifanyeje?
ReplyDeletesio wachagga wote wenye hiyo tabia, wako wengi tu wenye hofu ya Mungu na Nyumba zao zimadumukwa furaha na Upendo. Mimi nieoa uchaggani,na nina marafiki zangu wengi wameoa huko pia wanaishi vizuri na ni mfano wa kuigwa ( hawa wake zetu, wamenunua viwanja, Mashamba, tumejenga tunaishi), still heshima iko palepale. Tena binafsi nina Mushukru Mungu sana kwa mke ayenipawa. Hili la juzi limeniuma zaidi maana limefanywa na ufoo. Ameharibu sana. USALITI NI HULKA YA MTU SIO KABILA
ReplyDeleteNilitaka kushangaa eti vivu!!! Kwa lp hasa sura yenyewe nzitooo...kumbe jambaz
ReplyDeletesijui kwanini huyo ufoo hajakufa kwani anaroho mbaya sana na nafikiri alikuwa pia alikuwa anamuombea mwenzake afe ili yeye na mama yake wawe wamiliki nyumba kitu gani duniani hapa haya sasa mama yako kafa na wewe mwenyewe hoi umevuna ulichopanda. wala hukupendezea na roho hizo huyu ufoo ni mmachame roho mbaya kama jina lake. mungu amlaze mahali pema baba watoto wake
ReplyDeleteWanawake wote wa mkoa wa Kilimanjaro ndo zao hizo ndo maana utakuta wanawake wengi wa mkoa huu waume zao wamekufa yeye kamiliki nyumba na mali zingine huku akiwa mdogo kabisa .Jamani wanaume tuangalie sana wakati wa kuoa makabila mengine hayafai Ohoooooo.....
ReplyDeletehahhaaha em msituzibie riziki sisi... hayo yalikua mambo ya kizaman saiv wamachame wameelimika kwanza nimafighter kuliko waume zao.
ReplyDelete