JOHARI NA MPENZI WAKE MZUNGU KUFUNGA NDOA KATIKA NCHI MBILI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jana tuliweka habari hapa  kuwa actress maarufu Bongo Movies Blandina Chagula(Johari) amekwenda Canada kumfuata mpenzi wake raia wa nchi hiyo na pia kutambulishwa ukweni. Habari mpya ni kuwa baada ya kutambulishwa mipango ya ndoa kati ya johari na mzungu huyo itafanyika ili wawili hao waishi kama mke na mume baada ya mzungu huyo kuwa hoi bin taabani kwa penzi la Johari aliyejaaliwa kipaji cha kuigiza. Habari za mipango hiyo ya ndoa zimetolewa na Irene Uwoya alipozungumza na Bongo5 kwa kusema "akitambulishwa kitakachofuata ni ndoa, na kwa jinsi tulivyojadiliana watafanya ndoa mbili moja hapa(Tanzania) na nyingine Canada ili na sisi tulio Dar es salaam tusherehekee ndoa yake kwasababu kama unavyojua ndugu zake, marafiki na watanzania kwa ujumla wanahitaji kuhudhuria ndoa hiyo" 
Uwoya ambaye nae aliolewa na raia wa Rwanda Hamad Ndikumana kwa ndoa ya gharama na mwishowe ndoa hiyo kuwa chali aliendelea kwa kusema "Juzi niliandika kauli ya kumtaka atulie akiwa Canada, sio kwamba Johari hajatulia unajua Johari ni mtu wangu wa karibu kwa hiyo nilikuwa namwambia asipeleke uswahili Canada sio kwa nia mbaya"

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Uwoya ambaye nae aliolewa na kubwagwa, ha ha ha ha ha a mmeniuwa mbavu, hivi hajishtukiiii huyo uwoya

    ReplyDelete
  2. Nyoko zako we muandishi hadi umponde uwoya kwani hii habari inamhusu johari au uwoya.stupid!

    ReplyDelete
  3. nyoko zako kwani uwoya mtu, umalaya tu kutwa kutombwaaa nakupewa gari. eti anampa johari wosia shenzi zake na kipindi chake bom uchafu mtu uwaoyo huyu naemjua!

    ReplyDelete
  4. Hahahaha mbavuuuu zanguuuuu jamaniii.

    ReplyDelete
  5. hivi johari anajua english? maana kama ni mzungu inatakiwa ajue lugha ya kimayai kama wanavyoita wajanja !

    ReplyDelete
  6. johari itakuwa anatoa ndogo ndio maana huyo mzungu asiki haoni kwa johari!

    ReplyDelete
  7. johari itakuwa anatoa ndogo ndio maana huyo mzungu asiki haoni kwa johari!

    ReplyDelete
  8. We anonymous hapo juu wala hatoi ndogo ila anajua kunyonya uboo vizuri sana yaani akikunyonya akili lazima ikotoke na bao juu.

    ReplyDelete
  9. eti na uwoya leo anamshauri johari yeye mbona ndoa yake imemshinda lol

    ReplyDelete
  10. kwel wondeful haya nawatakia ndoa yenye baraka

    ReplyDelete
  11. Johar ni mzur sana,apunguze tu mkorogo. Kwan ukipendwa mpaka ufanye ushenz huo, ni upendo tu,kwanza mtu mwenyewe mzungu angekuwa mwarabu labda. Komen na umbeya wenu. Ubarikiwe mamie Johar

    ReplyDelete
  12. Acheni ushamba toka lini kunguru wa bongo mavi wakafugika?

    ReplyDelete
  13. Mh mzungu kampata juz matangazo kibao ndo mana huwa mnaachwa mnasingizia mmerogwa...Tunda la msimu

    ReplyDelete
  14. we mwandishi msenge kweli andika yanayomuhusu johari ukuda tu.

    ReplyDelete
  15. Wazungu wenyewe wabongo choka mbaya,anyway kila la kheri sister

    ReplyDelete
  16. NYIE ACHENI USENGE WIVU TU JOHARI NI MKALI TENA MZURI ETI NAWASHANGAA SANA MNAVYOSEMA ANATOA NDOA MALA ANAJUA KUNYONYA UBOO JOHARI ANA BAHATI YAKE NA NYIE MNAOMPONDA UWOYA MIKUNDU YENU MICHAFU NA KUMA ZENU NA MBOLO ZENU ZINANUKA TENA ZIMEOZA NA ZIMEVUNDA NA ZINATOA FUNZA

    ReplyDelete
  17. jamani ndoa inahitaji uvumilivu,joali kaza buti ndoa si mchezo,

    ReplyDelete

Top Post Ad