ALI KIBA "NI WAKATI WANGU WA KUAMKA KATIKA USINGIZII ULIYOJAA MAUMIVU NA DRAMA"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hitmaker wa Cinderela na Dushelele, Ali Kiba ambaye leo anasherehekea birthday yake ya kutimiza umri wa miaka 27, amefunguka kwa kusema alikuwa kimya kutokana maisha ya muziki anayosema yamejaa drama, mateso na mambo mengi.
Akizungumza na Bongo5 leo, Ali Kiba amesema muziki wa Tanzania umejaa drama zilizomfanya atulie kidogo kutafakari na ili kusudi ajue jinsi ya kukabiliana na changamoto zake.
“Nashukuru Mungu nimetiza miaka 27, ni wakati wangu wa kuamka katika usingizi uliyojaa maumivu,drama na mambo mengi ambayo yameweza kunikalisha kimya. Sitaki kusema moja kwa moja kwamba nilikuwa kimya kwasababu maalum ambayo hata ingemkuta mwingine lazima angetulia,” Ali Kiba ameiambia Bongo5.
“Namalizia audio na video ambavo ni kali sana. Unajua nimekuwa nikipokea maoni mengi kwenye Twitter,Instagram na baadhi ya rafiki zangu wakinitaka niamke nifanye mambo. Kwahiyo nadhani muda wangu umefika wa kuamka na kufanya yale mambo ambayo nilikuwa nayafanya. Huu ni muda wa kutoka kutoka nilipokuwa.”
Happy Birthday Ali K and welcome back.
Credit-BONGO5.COM
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. banka de booster fellaini30 November 2013 at 15:44

    Rudi kaka watoto wanajambisha kitaani

    ReplyDelete
  2. We really love u guy & am ur #1 fan so can't wait 2c ur camin back

    ReplyDelete
  3. nakukubali mzee njoo upunguze maneno ya hawa watoto

    ReplyDelete
  4. uuuh afadhali umerudi ali kiba!!! i ni shabiki wako nakusubiria kwa hamu

    ReplyDelete
  5. Sitaki kujua ulkua wp kaka.. coz hata foaming hawa watoto wamejsahau kabxa kua upo na unajua wanachokifanya. We real miss you .........

    ReplyDelete
  6. welcome back Ali k 4 real bnafsi nlkumis sana kwenye muziki

    ReplyDelete
  7. na yy akiwa km DOMO kimafanikio mtamchukia nn tatzo na wabongo

    ReplyDelete
    Replies
    1. achana na domo yy si mshamba flani tu ali k anakipaji na sauti nzuri domo ana nini ?

      Delete
    2. anakipaji cha kuvua chupu

      Delete
  8. njoo amburuze domo anajidai sana na ngololo yke

    ReplyDelete
  9. Welcome back bro then fanya uoe umri unaenda sasa

    ReplyDelete
  10. watin' 4 dat song mic u!

    ReplyDelete
  11. 2nasubr hyo ngoma yako bro!

    ReplyDelete
  12. Hapana aoe akiwa na30 nw maendeleo kwanza

    ReplyDelete
  13. Hapana aoe akiwa na30 nw maendeleo kwanza

    ReplyDelete
  14. hey bro may god bless. u and I want 2 tell u dat in life u muxt struggle in order 2 achieve what u want in ur life na mtangulize mungu kwanza kwa kila jambo ma bro I hope that u enjoy the day dat u were born b' coz it a special day 2 u ma dear 1

    ReplyDelete

Top Post Ad