BREAKING NEWS:MSANII TID ATUPWA MAHABUSU KWA KOSA LA KUMPIGA DEMU WAKE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Khaleed Mohamed 'TID' yupo mahabusu katika Kituo cha Polisi Oysterbay tangu jana usiku baada ya kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi msichana anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake,  Mariam Nnauye.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

25 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kumbe hajakoma ule mwaka 1 jela !

    ReplyDelete
  2. Aangalie asijefanya Munisi-fosaro.

    ReplyDelete
  3. Pengine hana hiyo bastola maana ingekua story nyengne

    ReplyDelete
  4. Dada zetu acheni kupalamia machizi

    ReplyDelete
  5. Huyo inaonekana ana bwana wake jela, acha aende,

    ReplyDelete
    Replies
    1. hlo neno kula 5 mdau kamic kupumuliwa kisogo huyo

      Delete
  6. huyo ndiyo mjelajela original bwana. kaenda nyumbani

    ReplyDelete
  7. Mapoudaaaaaaaa!

    ReplyDelete
  8. jamani akapimwe akili haiwezekani, ana matatizo tena makubwa,

    ReplyDelete
  9. utampigaje demu wako tu hujamlipia ht mahari! huo unaitwa usenge maandazi wa kufirwa hk unakanda maandazi,

    ReplyDelete
  10. Mademu kibao akikuzingua unamtema ya nini kupigana?maisha ya sasa ni kumega na kusepa,kumpata demu mwenye msimamo ni sawa na kumvizia kumgonga kobe kichwa,wengi ni walaghai

    ReplyDelete
  11. Ni kweli utapiga wangapi?tabia zao zinafanana ww mega ukiona haeleweki unamweka pembeni unachukua nyingine,sasa hivi ni wengi ka mafungu ya nyanya ni ww mwenyewe tu,TID hapo umechemka bro

    ReplyDelete
  12. Hiyo ni siri ya ndani utakayobaki kufikiri tuu pasipo kuujua ukweli, acheni kujifanya mnamjua mtu saaana kuliko anavyojijua mwenyew.

    ReplyDelete
  13. Ni kweli utapiga wangapi?tabia zao zinafanana ww mega ukiona haeleweki unamweka pembeni unachukua nyingine,sasa hivi ni wengi ka mafungu ya nyanya ni ww mwenyewe tu,TID hapo umechemka bro

    ReplyDelete
  14. Ww k hapo juu ulishafirwa huku unakanda maandazi ndio maana unakielewa hicho kibarua,unajua wanagombea kitu gani na walikuwa ktk hali gani kama wamelewa!acha usenge ww ndio nafirwa huku unakanda unga,acha pombe za makaratasi farasi mweupe

    ReplyDelete
  15. Mambo ya mtu mnayajuaje acheni kuongea kama mnafahamu mtu sana,mlikuwa nae ktk ugomvi mjue kilichokuwa kikiendelea mpaka mumuhukumu hivyo,na kama ni unga ni starehe yake mnanunuliaga,ya kwenu mvunguni ya wenzenu midomo juu,acheni ushoga wa kisenge,wengine mnakunywaga mpaka mnapoteza fahamu hamuyasemi ya TID midomo juu,acheni usenge

    ReplyDelete
  16. Huyo ni demu wake wa Muda mrefu sanaaaaaaaaaa huwaga hawaachani si mnayajua mapenzi ya kihivyo? Halafu noma ni binti wa mshua mtoto wa kigogo Nnauye..! Mtoto wa kigogo kafa kaoza kwa mchizi hawa kuachana ni Ndoto nawajua hawa mapenzi Yao ukiona wa nagombana hawa ww anza cause Kesho wako tena pamoja! Pole Dada Mariam..!.wewe ni msomi , mzuri kwenu mambo safi kwanini unahangaika na huyo mla unga? Tupilia kuleeeee au ndio anakupa mchezo mtamu kuliko mwanaume yeyote?.utauawa Shauri yako.

    ReplyDelete
  17. Unga na noko kumamako

    ReplyDelete
  18. mpenzi wake kamuibia hela ya mapouda

    ReplyDelete
  19. i like ths guy alot bt apo ameniboa kupitiliza...mwanaume wa kwel japig anajali na kuheshimu

    ReplyDelete
  20. SIkumbuki sawasawa ila nadhani jamaa huyu aliwahi kusota jela tena kwa karibu mwaka mmoja ila akasemehewa na rais. Kwa masharti ya msamaha wa rais ukipatikana na kosa jingine unarudi jela kwenda kumaliza muda uliosamehewa. Ngoja tuone itakuwaje.

    Wasipomrudisha jela mimi nitafungua kesi mahakama kuu dhidi ya serikali kwa kushindwa kusimamia sheria za nchi sawasawa

    ReplyDelete
  21. Halafu utapata faida gani?

    ReplyDelete
  22. sembe mbaya wala sembe wote washakuf a kimziki

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kabisa wanaiga mastaa wa ulaya kutumia drugs

      Delete

Top Post Ad