JACK CLIFF NA JUX BADO NI UTATA...WAPENZI AMA MARAFIKI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa muda mrefu muimbaji wa kundi la Wakacha, Jux na video vixen wa Tanzania, Jackie Cliff wameendelea kukanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi, lakini bado picha zinazowaonesha wakiwa pamoja, zimeendelea kuzalisha maswali mengi vichwani mwa watu wanaowafahamu.

Hivi karibuni, Jux alipost picha Instagram akiwa amemshikilia Jackie mkono wakitembea pamoja kama mtu na mpenzi wake na kuandika: We jus outchea livin our mfkn lives. Siku chache kabla ya picha hiyo, Jackie naye alipost picha akiwa na Jux na kuandika: My bff is better than yours..’

Miezi mitatu iliyopita , Jackie ambaye ameonekana kwenye video ya Linex ya wimbo wake Kimugina hivi karibuni, aliweka picha ya Jux na kuandika ujumbe mrefu wa kumtakia siku njema ya kuzaliwa akisema:

I don’t like to call u a friend..To me ur just a special friend..A wonderful friend..A heaven sent,And todai its your special day..God keep showering you with lots of success and blessings cuz you deserves so much more..And your so special to me..Ladies and Gentlemen help me wish Happy Bday To this handsome friend of mine’ Bongo5.com
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jackl ana mimba ya jux

    ReplyDelete
  2. Naomba kuuliza mume wa Jackie bado Yuko jela?naona mke anakula bata refuuuu utafikiri Yuko single.Kumbe mke wa mtu.

    ReplyDelete
  3. MI SIWAJUI HAWA na HAYANIUSU but pic inaonyesha kuwa ni WAPENZI kabisaaaaa.

    ReplyDelete

Top Post Ad