STEVE RnB AMVISHA PETE MCHUMBA WAKE WA TOKA SECONDARY

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hit maker wa ‘Jambo Jambo’ Steve RnB amefungua ukurasa mwingine wa mapenzi baada ya kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi ikiwa ni kiashirio cha kuelekea katika ndoa.

Kwa mujibu wa VIBE, Steve ambaye pia ni memba wa bendi ya In Africa amemvisha mpenzi wake huyo anayesemekana kuwa ni wa toka enzi zao za shule.

Kwa picha hii (hapo juu) inaonekana Steve hakutaka kufanya party wala kuifanya kitu kikubwa zaidi ya kuwasilisha ombi lake wakiwa kibarazani na kumwambia kipenzi chake ‘will you marry me’? Hopefully jibu lilikuwa Yes!

Hongera kwa Steve tunawatakia safari njema ya kuelekea kwenye ndoa yeye na mchumba wake.

PICHA: VIBE
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
 1. watu wengine bwana msanii mzima kenda kumvishe pete kichusi kama yule! amavaa kandambili za chooni dah aibu,”

  ReplyDelete
 2. huyu dada namjua kipindi tuko olevel pqle st mattew sec dar es walikuwa hawakamatiki kila mara wako pamoja
  HONGERA DADA MAANA KAKA KWAKE NI UAMUZI
  SAFI SANAA KAKA STEVE

  ReplyDelete
 3. huyu dada namjua kipindi tuko olevel pqle st mattew sec dar es walikuwa hawakamatiki kila mara wako pamoja
  HONGERA DADA MAANA KAKA KWAKE NI UAMUZI
  SAFI SANAA KAKA STEVE

  ReplyDelete
 4. We mkundu kweli alokwambia.mapenzi ni ndala amekudanganya au mapenzi ni uzuri wa msichana....na utaishia hivyo hivyo kutaka watu ambao sio.saizi zenu mwisho wa siku mnaletewa mimba sio zenu na ukimwi juu....utafikiri mama yako mzuri mbwa wewe

  ReplyDelete
 5. he ndo matusi yote ayo?

  ReplyDelete
 6. Huyo jamaa kweli kuma angekuwa ni mzungu kavaa ndala ingekuwa ss kavaa dada ye2 imekuwa nongwa msenge kweli ww.

  ReplyDelete
 7. ndo akome kunanga wachumba wa wenzie!!

  ReplyDelete
 8. All the best to my brother stv rnb

  ReplyDelete
 9. jamn watun wengine mafala kweli ulitaka akuoe ww c ajabu mwnyw una sura km halfcake iliyokoxa mafuta paka shume ww

  ReplyDelete
  Replies
  1. HALFCAKE ILIYOKOSA MAFUTA...umetupiamoooooooo

   Delete
 10. hongera my sister kwa kutuletea shemeji yetu steve

  ReplyDelete

Top Post Ad