AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
“Nilitengeneza ile filamu kwa hela nyingi kidogo, kama milioni 35 au 40, nikafanya na uzinduzi pale Leaders Club uliogharimu kama milioni 13 hivi, lakini nilipokwenda kwa Wahindi wakanipa shilingi milioni 25, yaani inakatisha sana tamaa,” alisema muigizaji huyo wakati alipofanya mahojiano maalum na waandishi wetu.
Alisema hasara aliyoipata na ambayo hata wasanii wenzake huipata inatokana na uwepo wa wasambazaji wachache wa kazi za wasanii, kitu kinachowafanya watu hao kujipangia bei bila kujali gharama ambazo wameingia katika utengenezaji wake.
Chanzo: GPL
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Tatizo kubwa ni kwamba mnawekeza pesa ndogo kwenye hizo filamu zenu,na matokeo yake ubora wa filamu unakuwa mdogo,ukilipwa pesa ndogo unalalamika,watu wanatumia miezi sita mpaka miaka miwili kutengeneza filamu moja,nyie mnatengeneza kwa mwezi mmoja je unategemea nini kitatoka hapo?,pia kwa swala la distributors wafanyabiashara wa tanzania wamezubaa hivi ni kwanini kila kitu wafanye kina patel?,inabidi watu wafunguke wawekeze kwenye fursa hii ya usambazaji wa filamu labda kdogo inaweza punguza malalamiko
ReplyDelete