JACKIE CLIFF AMUACHIA WOSIA WAKE MARTIN KADINDA.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Yaelekea mwanadada Jackie alikuwa amejipanga kisawa sawa na alijitoa muhanga na kujua lolote lingeweza kumpata kutokana na kazi aliyo kuwa akifanya ya kubeba sembe. Jackie alijipanga na  kuamua kumuachia rafiki yake kipenzi Martin Kadinda maagizo na wosia wake just incase ikatokea akafariki. Jackie aliweza kuandika ujumbe huo kwenye status yake ya BBM kama inavyo onekana hapa chini.

Jackie amekamtwa mapema mwezi huu Macau, China na kilo 1.1 za heroin  na sasa anasubiria hatma yake kutokana na kosa hilo la kusafirisha madawa ya kulevya.


Katika maisha kila mtu ana yule rafiki mmoja (BFF) ambaye anamuamini na kumweka moyoni mwake kama ilivyo kwa Jackie na Marin.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wakunyonge 2 koz na wew ungeua wangap na iyo sembe mxnge wew

    ReplyDelete
  2. Dah hawa watu hawakomi wala hawasomi nashangaa sana

    ReplyDelete
  3. Wee kadinda mbona marafiki zako wote mademu bro! We mtoto siyo rizki nini? Anyway peleka husiha wa best yako maana amesha kufa kiroho umebaki mwili.

    ReplyDelete
  4. natamani sana huyu malaya anyongwe haraka maana wamezidi hawa

    ReplyDelete
  5. Na kweli huyu kadinda atakua na matatizo sio bure... na we jack mumeo alivyofungwa ulikia unatanua kila cku na mabwana wapya badala ya kwenda kumfariji mumeo sasa na ww kaionje joto ya jiwe kuku wee.. tamaa zitawaua

    ReplyDelete
  6. weee martin unamatatizo gani wemavuzi unalala nae lkn humtombi huyu jack humtombi kalibia vibinti vyote unalala navyo huvitombi huyu wema sepetuzi ungemtomba asingehangaika kwa domo

    ReplyDelete
  7. Onyo kwa mademu wenye tamaa,msishoboke na kina lulu kanumba na mapicha yake anayowarusha roho huko instagram,mngejua hizo hela Anatoa wapi zaanguo na magari mmmmh,jasho linamtoka kuishi maisha hayo anayoishi instagram.Wala msitamani hata chembe,cha moto anakiona,kisaaa arushe roho watu instagram?facebook.poleni sanaaaa wadada Wa type Kama ya lulu kanumba na jack cliff.

    ReplyDelete
  8. Mkundu huyu dem alimchongea mume wake ili yeye aendelee kuuza sembe sasa amedakwa yeye

    ReplyDelete

Top Post Ad