HIVI BASATA MKO WAPI?? BONGO MOVIES SIKU HIZI NI ZA KIKUBWA TUU,WATOTO ZETU TUNA WAFUNZA NINI?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Hakika tasnia ya filamu kwa hapa bongo na hata baadhi ya nchi za Afrika zimekuwa zikipotosha na kuharibu jamii zetu hasa vijana.

Kwenye moja kati ya filamu ambazo inategeme kutoka hivi karibuni hizi ni baadhi ya shots zilizochukuliwa.... 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Basata.ndio.walezi wao na inaonekana kuwaogopa hao wasanii na ndio maana wamezidisha umalaya

    ReplyDelete
  2. tukionee huruma kizazi cha kesho jaman

    ReplyDelete
  3. tukionee huruma kizazi cha kesho jaman

    ReplyDelete
  4. Mhhhh jamani muokopeni mungu! Iyo sasa imezidi

    ReplyDelete
  5. Safi kabisaa 'kwani kuna jipya gani hapo' watoto wakaangalie katuni

    ReplyDelete
  6. dah kuna movie 1 inaitwa jini tausi pale inapoanza 2 hapafai kuangalia kabisa.. Ukifika ktk ya movie hemed anapgana mate na manz flan..

    ReplyDelete
  7. Basata na waigzaj wao wote malimbuken 2

    ReplyDelete
  8. Basata na waigzaj wote malimbuken 2

    ReplyDelete
  9. waingizaji acheni utoto nyinyi hamna aibu

    ReplyDelete
  10. Dis iz 2mach,au baxata 2weke watoto ili watetee aki zao,maana ao wa2 wazma nao wanatetea u2uzma wao,xo,inawapa frah 2 kwao.fack!"!

    ReplyDelete
  11. Basata na hao waigizaji wote malaya tu. Na ndio maana ili filamu yako ipaishwe juu zaidi lazima utoe rushwa ya ngono. Msishangae kuwaona wakifilana mbele ya jamii kwenye hizo movie zao.

    ReplyDelete

Top Post Ad