MCHAWI AANGUKA PEMBENI YA KANISA AKIWA NA KIGANJA CHA MKONO WA MTU MDOMONI.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Dada mmoja aliye julikana baadae kama Esther
alianguka pembeni ya kanisa huko Naija huku akiwa na kiganja cha mkono wa mtu mdomoni na gongo kubwa mkononi, baada ya kuhojiwa baadae alisema kwamba yeye alikuwa kwenye safari zake tu na baadae kujikuta amepoteza fahamu eneo hilo.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasaaa alikua ktk safari za kikazi au mizunguko ya kawaida tu

    ReplyDelete
  2. Mshenzi mkubwa huyo angechomwa moto kabisa

    ReplyDelete
  3. Ha ha ha ha, uwiiii mshenzi kweli Eti safari zake na mkono wa mtu??sasa

    ReplyDelete
  4. habari ya toka mwaka jana hii bana a

    ReplyDelete

  5. Looooooooo hasidi mkubwa

    ReplyDelete
  6. Mwacheni,mwacheni aende zake,sisi serikari hatuna uchawi,hatuutambui kabisa,mpelekeni milembe tu au kwa mkemia.

    ReplyDelete
  7. duuuuuuuuuu kumbe uchawi upo?

    ReplyDelete

Top Post Ad