NI NADRA KWA DIAMOND COLABO..ILA SASA NI ZAMU YA GODZILLA..PATA PICHA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ni nadra sana kwa Diamond Platnumz kufanya collabo na tena na msanii wa Hip Hop. Mwaka huu hitmaker huyo wa ‘My Number One’ alishirikishwa na Nay wa Mitego kwenye ‘Muziki Gani’ na kushuhudia mafanikio makubwa kwa Nay ambayo ni pamoja na kuongeza mashabiki zaidi na kupata show nyingi zilizomfanya kuwa miongoni mwa wasanii walioingiza mkwanja mwingi mwaka huu.
Sasa ni zamu ya Godzilla kupata neema za Diamond Platnumz, kipenzi cha wengi. Wakali hao watasikika kwenye ngoma ya pamoja iliyofanyika MJ Records na ambayo itatoka mwaka 2014.
“Zilla &diamond platinum&za chaa&marco chalii . ..on the same page ,whts my name jan ....see you 2014,” ametweet Godzilla jana.
Hakuna wasiwasi kuwa hiyo itakuwa hit ya mwaka 2014.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pgen Kaz Live Madogo!Alaf Diamond Achana Na Hcho Kimganga Kichawi We Pga Kaz.

    ReplyDelete
  2. Cc 2nafulah Kuwaona Mkiwa Mnapenda Kama Hvyo Mungu Awe Pamoja Nanyi!

    ReplyDelete
  3. Saf xanaaaaaa nasib tena namfagilia knoma noma lzma ngoma ihit

    ReplyDelete

Top Post Ad