MSANII WA TIPTOP CONECTION AKAMATWA NA GUNIA AROBAINI ZA BANGI, SOMA MKASA MZMA HAPA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii anaejulikana kwa jina la deso hivi karibuni amekamatwa na gunia arobaini za bangi na mpaka sasa yupo mikononi mwa police katika kituo cha police kibaha na leo jumatatu anategemewa kufikishwa mahakani kujibu mashtaka hayo. akiongea na blog hii chanzo chetu cha habari kimesema mtuhumiwa alikutwa na vitu hivyo kwenye gari alipokuwa anajaribu kuzisafirisha kupeleka mkoani tanga
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wasanii wa bongo wote mapunda Tu halafu wanata ubunge mnataka kupeleka bangi bungeni.

    ReplyDelete
  2. Hacha uongo hii habar ni yakitambo cna msenge ww,hyo bngi cyo yke alimpa mtu rifuti kwenye gri lke ndo alikuwa na begi la bangi amebeba. Lkn yy cyo muhusika wa hlo begi na mwenye begi alivoona polce alikimbia

    ReplyDelete
  3. Gunia arobaini kwenye begi......
    ?umekurupuka kumtetea shoga ako au mmeo?

    ReplyDelete
  4. Tasnia ya filamu na muziki imeharibika kwa sababu ya njaa, hamna pesa jamaani msiwalaumu tu wasaidiwe kama Ray C

    ReplyDelete
  5. Gunia arobaini siyo misokoto! Haziwezi enea kwenye bag!!!!

    ReplyDelete
  6. Nyie watanzania muko na vituko aina aina everyday why, can anybody explain it to me pliz

    ReplyDelete
  7. WASANII WA BONGO ( MAJANGAA )

    ReplyDelete
  8. Kwani ukiwa msanii wa bongo lazima uuze cocaine na bangi? Acheni hizo nyie wasanii wa bongo

    ReplyDelete

Top Post Ad